Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Anawindwa sana USAOhhoooo bashite again
Anawindwa sana USAOhhoooo bashite again
Naona umekaririshwa maneno na wazungu wa USBashite hana lolote zaidi ya kuondoa haki ya kuishi kwa wanadamu wasiyo na hatia
Duh 🙄 !Bashite hana lolote zaidi ya kuondoa haki ya kuishi kwa wanadamu wasiyo na hatia
Wangekuwapo wangejitokeza wakati akiwa kijiweni. Ila Kwa sasa Yanabakia kuwa maneno matupu.Makonda anajitutumua mno!
Hivi anafikiri wa Tz tumesahau matendo yake?
leo wakisema walionyanyaswa/kudhulumiwa na makonda wajitoikeze itakuwa aibu!
Hutuna Rafiki wala adui wa kudumu.Aliyekulaza korokoroni leo kakupa teuzi... Haya maisha 🙌
HakikaHutuna Rafiki wala adui wa kudumu.