econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
😃Utashangaa baada ya miaka 5 anarudi tena kwenye siasa na anakaa kwenye kiti kikubwa ,wanaanza kuburuzana tena
Huyo bahati yake ilikwisha baada ya kushindwa ubunge Kigamboni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃Utashangaa baada ya miaka 5 anarudi tena kwenye siasa na anakaa kwenye kiti kikubwa ,wanaanza kuburuzana tena
Hakika, sijui kama kuna mtu hakukerwa na matendo ya Makonda hapa mjini, Haji ni mmojawapo. Acheni watu watoe povu jamani, miyo iwe miepesiAnahaki ya kuongea na kutoa madukuduku ya moyoni Kama ambavyo katiba ya nchi inamruhusu.
Wengi wangetamani kusema lakini hawana platform za kufikia watu wengi, so muacha aseme Kwa niaba ya watu walioonewa na uongozi wa Makonda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] na hawa hawa wanao mnanga makonda wataanza kumsujudia.[emoji2]Utashangaa baada ya miaka 5 anarudi tena kwenye siasa na anakaa kwenye kiti kikubwa ,wanaanza kuburuzana tena
Dada hiyo Dp ni, [emoji91][emoji91][emoji91]Mimi naona aendelee tu kutema nyongo
Ahsante Mdogo angu..Dada ako wa Gugo huyoo😂😂Dada hiyo Dp ni, [emoji91][emoji91][emoji91]
akina Suzy wengi wao huwa wanatumia makalio kufikiriPamoja na mapungufu ya Makonda bado Haji hapaswi kulibeba kombe la kumnanga.
Hivi unatoa wapi nguvu za kumnamga mtu usiyeijua kesho yake ya kisiasa?!
Haji anayo hakika kwamba Makonda mwisho wake kisiasa umefika?!
Ukweli ni kwamba hawa kina Makonda na Sabaya hata wakifungwa binafsi naamini yupo jamaa yao mmoja atachukua madaraka makubwa na atawapa vyeo tena ama atawanyanyua.
Kwa muktadha huo Haji kuwa na akiba ya maneno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] khaaah wee achana nao, wale wasikutishe.Ahsante Mdogo angu..Dada ako wa Gugo huyoo[emoji23][emoji23]
Mwenzio kaandika huko twita wewe unakuja kujificha huku. Nenda kamshauri kulekule huku huna uhakika kama anaingia.Pamoja na mapungufu ya Makonda bado Haji hapaswi kulibeba kombe la kumnanga.