Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

😃Utashangaa baada ya miaka 5 anarudi tena kwenye siasa na anakaa kwenye kiti kikubwa ,wanaanza kuburuzana tena

Huyo bahati yake ilikwisha baada ya kushindwa ubunge Kigamboni.
 
Huo ushauri ulitakiwa kumpa Makonda mapema kabisa katika nyakati za uongozi wake.

Kama hukufanya hivyo, moja kwa moja unakosa uhalali wa kumshauri haji Manara, unless otherwise ulikuwa hujazaliwa wakati Makonda anatawala .
 
Manara ana hasira, Makonda alitaka kukata gogo chumbani kwake, tena uharo wa pombe unavyonuka sasa😀😀😀
 
Anahaki ya kuongea na kutoa madukuduku ya moyoni Kama ambavyo katiba ya nchi inamruhusu.

Wengi wangetamani kusema lakini hawana platform za kufikia watu wengi, so muacha aseme Kwa niaba ya watu walioonewa na uongozi wa Makonda.
Hakika, sijui kama kuna mtu hakukerwa na matendo ya Makonda hapa mjini, Haji ni mmojawapo. Acheni watu watoe povu jamani, miyo iwe miepesi
 
[emoji2]Utashangaa baada ya miaka 5 anarudi tena kwenye siasa na anakaa kwenye kiti kikubwa ,wanaanza kuburuzana tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] na hawa hawa wanao mnanga makonda wataanza kumsujudia.
 
Mimi naona aendelee tu kutema nyongo
 
Pamoja na kwamba makonda sijawahi mkubali ila nikiri tu hapa manara naaweza kuja kuwa na mwisho mbaya Sana sababu Hana kifua yule jamaa ,pia sio wa kumwamini ni mtu kigeu geu Sana .

Mimi naamini manara na makonda wako sawa tu maana wote Wana maadui kibao ,tena manara ni swala la muda tu habar yake itaisha ,atakujapotezwa Kama akina Ben saanane the guy ni mropokaji sn alafu hanaga Siri siku mkitofautiana.

Niseme tu manara aache uchawa wa kujipendekeza anajiweka katika hali mbaya kwenye maisha kisa tu awafurahishe gsm
 
Uongozi wa Magufuli umeonyesha vijana bado hawana uwezo na busara katika uongozi.
 
Pamoja na mapungufu ya Makonda bado Haji hapaswi kulibeba kombe la kumnanga.

Hivi unatoa wapi nguvu za kumnamga mtu usiyeijua kesho yake ya kisiasa?!

Haji anayo hakika kwamba Makonda mwisho wake kisiasa umefika?!

Ukweli ni kwamba hawa kina Makonda na Sabaya hata wakifungwa binafsi naamini yupo jamaa yao mmoja atachukua madaraka makubwa na atawapa vyeo tena ama atawanyanyua.

Kwa muktadha huo Haji kuwa na akiba ya maneno.
akina Suzy wengi wao huwa wanatumia makalio kufikiri
 
Kama kina hao mawaziri waliorudishwa safari eti?
Unategemea tutachagua mshamba tena NO WAY
Labda tufe wote tumejifunza kuwa mshamba hana huruma bora wa toto la mjini
 
Pamoja na mapungufu ya Makonda bado Haji hapaswi kulibeba kombe la kumnanga.

Hivi unatoa wapi nguvu za kumnamga mtu usiyeijua kesho yake ya kisiasa?!

Haji anayo hakika kwamba Makonda mwisho wake kisiasa umefika?!

Ukweli ni kwamba hawa kina Makonda na Sabaya hata wakifungwa binafsi naamini yupo jamaa yao mmoja atachukua madaraka makubwa na atawapa vyeo tena ama atawanyanyua.

Kwa muktadha huo Haji kuwa na akiba ya maneno.
Mwenzio kaandika huko twita wewe unakuja kujificha huku. Nenda kamshauri kulekule huku huna uhakika kama anaingia.
 
Huu ni wakati wake makonda jakuna wakati mwingine wa kumshughulikia.hata akirudi ajue kutumia madaraka atakayopewa kwa mara nyingine.lakini kwa sasa anatakiwa afanywe vyovyote vile ajutie maovu yake na mapungufu yake
Tueheshimiane asiwe mropokaji siyo yeye tu bado anawenzake
Muuza madawa mkubwa huyu jamaa.alijiona yeye ndio atakuwa
Pablo escobar wa bongo
Mshenzi flan tu huyu
 
Back
Top Bottom