Haki ya Mungu nimejikuta namkumbuka Magufuli ghafla tu

Wakati wa magu 2016 au 17 kama sijakosea nilipata loose connection kwenye mstimu nje ya nyumba ninayoishi, nikapiga emergency tanesco na ndani ya robo saa wakafika na kurekebisha kisha nikawapa 15,000 kama ahsante,haki ya Mungu waliikataa,
Leo tatizo limetokwa tena nikapiga simu wakasema mafundi wanakuja, nimesubiri weeee masaa yamepita nikaamua kwenda ofisini kwao nikawakuta mafundi wakaniambia nenda tunakuja, nikaondoka masaa yakapita tena hawajaja nikaenda tena nawabembeleza niwape hela wanirudishie huduma pia wanadengua labda kiwango hakitoshi
Kweli magu alikuwa jembe
Na sidhani kama atatokea kama yeye tena
Ndio mmeanza kumkumbuka eeh,wakati yupo hai mlikua mnamtukana tu,na bado!....mtanyooka
 
Mi nahisi magu pale ccm alipitia tu ila alikuwa na chama chake moyoni mwake, iweje yeye aweze wengine washindwe?
Unataka kusema viongozi hawayaoni haya tunayolalamikia?
Kama Magufuli angekuwa anashughulikia tu mafisadi ingekuwa sawa. Ila pia wakati wa serikali au awamu yake kulikuwa na ukatili mkubwa sana na watu hasa waandishi wa habari walikimbia na uchaguzi haukuwa huru. Kwa sababu hiyo, haijalishi ni lipi zuri alifanya, Kwa WENGI ANABAKIA KUWA KIONGOZI MKATILI SANA
 
"Mtanikumbuka" hii sauti itajirudia sana tu vichwani mwa watanzania hasa wale walioshika kwenye makali walioshika mpini full shangwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata jambazi linaloua watu, akifa mke wake na watoto wake watamkumbuka. Huo ni mfano wa mtu mkatili.. kwamba akifa lazima kuna watakaomkumbuka. Kwa JPM, Sio kwamba kila mtu alifungwa akili na mawazo kama hivyo na JPM. Na sio kila mtu anamkumbuka.
 
Wakati wa magu 2016 au 17 kama sijakosea nilipata loose connection kwenye mstimu nje ya nyumba ninayoishi, nikapiga emergency tanesco na ndani ya robo saa wakafika na kurekebisha kisha nikawapa 15,000 kama ahsante,haki ya Mungu waliikataa,
Leo tatizo limetokwa tena nikapiga simu wakasema mafundi wanakuja, nimesubiri weeee masaa yamepita nikaamua kwenda ofisini kwao nikawakuta mafundi wakaniambia nenda tunakuja, nikaondoka masaa yakapita tena hawajaja nikaenda tena nawabembeleza niwape hela wanirudishie huduma pia wanadengua labda kiwango hakitoshi
Kweli magu alikuwa jembe
Na sidhani kama atatokea kama yeye tena

Nyama zitakuwa chini ngoja asimike supika msanzibari kwanza
 
Kuna watu daily wanamtusi humu wanamuita kila majina mabaya
 
Kama Magu angekuwa anashughulikia tu mafisadi ingekuwa sawa. Ila pia wakati wa serikali au awamu yake kulikuwa na ukatili mkubwa sana na watu hasa waandishi wa habari walikimbia na uchaguzi haukuwa huru. Kwa sababu hiyo, haijalishi ni lipi zuri alifanya, Kwa WENGI ANABAKIA KUWA KIONGOZI MKATILI SANA
Kwa wachache mkuu, wachache sana, na siku zonavozidi kwenda, mtazidi kuwa wachache.
 
Back
Top Bottom