pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
- Thread starter
- #61
Umeona sasa walivyo?mwaka jana tulipata tatizo la luku ilipiga short, tukapiga simu tanesco na ndani lisaa wakafika wakaungani wavojua wenyewe tukatumia zaidi ya wiki moja bure mpaka walipo leta luku mpya,
juzi shinda jana jirani yetu mti umeangukia waya za umeme hadi leo hawajaja pamoja na kupigiwa simu kadhaa
Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
Jamaa aliweza sana maeneo hayo