Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HajapandaSukuma gang bana,so magufuli ndio alipanda kwenye hiyo nguzo yako
Nyakati hubadilikaHajapanda
lakini najiuliza ilikuwaje waje fasta na hela wakatae
Na hawa wa leo hawajaja na hela wanataka?
We ni tahira kweli, TANESCO emergency Wala hawaitaji hela wakija kusolve tatizo kwako,we sababu ni boya ulijipendekeza kuwapa au unawachafua tu, TANESCO kitengo Cha emergency wapo vizuri Sanaa,labda kwa mengine hapo sawaWakati wa magu 2016 au 17 kama sijakosea nilipata loose connection kwenye mstimu nje ya nyumba ninayoishi, nikapiga emergency tanesco na ndani ya robo saa wakafika na kurekebisha kisha nikawapa 15,000 kama ahsante,haki ya Mungu waliikataa,
Leo tatizo limetokwa tena nikapiga simu wakasema mafundi wanakuja, nimesubiri weeee masaa yamepita nikaamua kwenda ofisini kwao nikawakuta mafundi wakaniambia nenda tunakuja, nikaondoka masaa yakapita tena hawajaja nikaenda tena nawabembeleza niwape hela wanirudishie huduma pia wanadengua labda kiwango hakitoshi
Kweli magu alikuwa jembe
Na sidhani kama atatokea kama yeye tena
Mie sijatukana mtu humuWe ni tahira kweli, TANESCO emergency Wala hawaitaji hela wakija kusolve tatizo kwako,we sababu ni boya ulijipendekeza kuwapa au unawachafua tu, TANESCO kitengo Cha emergency wapo vizuri Sanaa,labda kwa mengine hapo sawa
Alikopa trilioni 29 ndani ya awamu 1 na akawa anatuaminisha kuwa tuna uwezo wa kujitegemea, tuchape kazi.Kama Magu angekuwa anashughulikia tu mafisadi ingekuwa sawa. Ila pia wakati wa serikali au awamu yake kulikuwa na ukatili mkubwa sana na watu hasa waandishi wa habari walikimbia na uchaguzi haukuwa huru. Kwa sababu hiyo, haijalishi ni lipi zuri alifanya, Kwa WENGI ANABAKIA KUWA KIONGOZI MKATILI SANA
Ukiona kwako kunafuka moshi, somewhere kunateketea. UKitaka kujua hili, anza kukaa karibu na wanaopitia changamoto zinazohitaji huduma za:-Wakati wa magu 2016 au 17 kama sijakosea nilipata loose connection kwenye mstimu nje ya nyumba ninayoishi, nikapiga emergency tanesco na ndani ya robo saa wakafika na kurekebisha kisha nikawapa 15,000 kama ahsante,haki ya Mungu waliikataa,
Leo tatizo limetokwa tena nikapiga simu wakasema mafundi wanakuja, nimesubiri weeee masaa yamepita nikaamua kwenda ofisini kwao nikawakuta mafundi wakaniambia nenda tunakuja, nikaondoka masaa yakapita tena hawajaja nikaenda tena nawabembeleza niwape hela wanirudishie huduma pia wanadengua labda kiwango hakitoshi
Kweli magu alikuwa jembe
Na sidhani kama atatokea kama yeye tena
Jamaa aliweza sana,
Kudhibiti hawa wafanyakazi wa michongo wanaojifanya miungu wAtu kwenye kutoa huduma magu alifanikiwa sanaaa yaani hata nyerere hamfikii
Sawa, Naomba namba yako ya simu waje watatue hiyo issue yakoMie sijatukana mtu humu
Kama umechukia mie kudai haku yangu
Kwa kuwa wewe hayajakufika
Basi pita tu hakuna haja ya kunitukana
Mie mzima na akili zangu sio taahira
Na kama wapo vizuri wangeshafika tangu nilipotoa taarifa
Masaa yamepita na kauli zao pia sio nzuri
Ila saa hii vitenhk bipo chini ga mafisadi
Magu aliweza sana walinyooka wote hawa
mwaka jana tulipata tatizo la luku ilipiga short, tukapiga simu tanesco na ndani lisaa wakafika wakaungani wavojua wenyewe tukatumia zaidi ya wiki moja bure mpaka walipo leta luku mpya,Watakuja kukupa muongozo kuwa umelipwa na UVCCM ya sukuma gang kuja kumpigia promo aliyekwenda zake[emoji23][emoji23].
Kuna mijitu ina roho ngumu yaan magumu yote haya anayosababisha huyu bibi wa kizenji, inajifanya haitaki kukumbuka ule mseleleko wa Magu, hayo yote yanasababishwa na chuki walizopandikizwa na viongoz wao wa hovyo hovyo.
Bitter truth, yajayo yanafurahisha, huyu bibi kaboronga na anazidi kuboronga
Tena napendelea mabaya zaidi yatokee ili wa Tanzanian mjue kutambua na kuheshimu mtu aliyejitoa kwa ajili yenu rkn hao hao watanzania wakafulahia na wengine kuchinja mbuzi kwa kufurahia kifo cha mtetezi wao.Alipokufa mlifurahi. Wakuda na vigeugeu lolote liwakute
Mimi tatizo LA maji mwezi wa tatu huu. Nataka kwenda kwa waziri mwenyewe sasaWakati wa Magufuli 2016 au 17 kama sijakosea nilipata loose connection kwenye mstimu nje ya nyumba ninayoishi, nikapiga emergency TANESCO na ndani ya robo saa wakafika na kurekebisha kisha nikawapa 15,000 kama ahsante, haki ya Mungu waliikataa
Leo tatizo limetokwa tena nikapiga simu wakasema mafundi wanakuja, nimesubiri weeee masaa yamepita nikaamua kwenda ofisini kwao nikawakuta mafundi wakaniambia nenda tunakuja, nikaondoka masaa yakapita tena hawajaja nikaenda tena nawabembeleza niwape hela wanirudishie huduma pia wanadengua labda kiwango hakitoshi
Kweli Magufuli alikuwa jembe
Na sidhani kama atatokea kama yeye tena
Magufuli hakuwa CCM halisi CCM yenyewe ndio akina NapeKwani Magu si ni CCM? Na sasa bado ni CCM wanaongoza? NANI ALIKUAMBIA KUNA MTU ANAISHI MILELE? Ndio shida ya watu kuweka tegemezi kwa binadamu.
Subiri kwanza wabadilishweMimi tatizo LA maji mwezi wa tatu huu. Nataka kwenda kwa waziri mwenyewe sasa
Wewe unafanya kazi huko?Sawa, Naomba namba yako ya simu waje watatue hiyo issue yako