Haki ya Mungu nimejikuta namkumbuka Magufuli ghafla tu

Umeona sasa walivyo?
Jamaa aliweza sana maeneo hayo
 
Magu ana mabaya yake na Mazuri yake kama Binadamu, Lakini Tukiweka Mzani basi Mazuri ni Mengi, Mzee huyu kwa Kweli alikuwa Mzalendo Haswaaa
 
''hii ni serikali yangu siyo ya ccm'' alisema magufuri.
Magufuli ndiyo kiongozi pekee wa ccm alipata kupigiwa kura namimi, na sifikiri kama atatokea mwingine pale ccm au hata upizani wakuweza kunishawishi kumpa kura yangu.
MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI
 
 

Ungeenda clouds tv watoe kwenye jicho la mwewe nakuhakikishia wiki isingeisha wangekuwa wamerekebisha hiyo nguzo
 
Mambo yamebadirika saana.
Ukitaka kujuwa ona yule TANESCO wa Jamiiforums alivyo kimyaa siku hizi. Wakati ule, angekuwa ameshakuja hapa haraka kuomba details za mlalamikaji.
 
Kwani Magu si ni CCM? Na sasa bado ni CCM wanaongoza? NANI ALIKUAMBIA KUNA MTU ANAISHI MILELE? Ndio shida ya watu kuweka tegemezi kwa binadamu.
Yule ni specie nyingine kabisa. Huoni alivyowavuruga mle ndani mpaka wengine wakakimbia nchi! Wacha niishie hapa
 
Mambo yamebadirika saana.
Ukitaka kujuwa ona yule TANESCO wa Jamiiforums alivyo kimyaa siku hizi. Wakati ule, angekuwa ameshakuja hapa haraka kuomba details za mlalamikaji.
Aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Itoshe kusema tu Magufuli alikuwa ni jembe
Lakini siyo kusema hudhani atatokea tena kama yeye.
Watanzania tuko 60M huenda kuna wazuri kuliko alivyokuwa yeye ni suala la Mda tu.!
Ni kweli kabisa usemayo! Nakuhakikishia wapo watu zaidi ya Magufuli wapo mitaani miongoni mwetu milioni 60! Lakini nafasi yao kushika uraisi ni ndogo Sana na ndiyo maana wengine wamesema haitakaa itokee! Mfano mdogo tu, unadhani ndani ya CCM kuna fisadi yeyote anayeweza kuruhusu mtu wa aina ya Magufuli kuchukua uongozi??
 
Tumpe mama nafasi. Anahujumiwa na Sukuma Gang.

Subirini awamalize wahujumu mambo yatakaa mwendo mserereko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…