Hakika Mungu akishakupangia hakuna wa kupangua! Hongera Jakaya Kikwete

muacheni JK ale zake bata zake.
Usichukulie mambo serious sana duniani hapa ukaenda speed.
 
JK ni miongoni mwa hazina zilizo baki katika bara la Afrika.
Hivyo ni hazina yetu ni hazina kwa majurani zetu na Afrika kwa ujumla wake.
Mungu aendelee kumpa afya njema na amlinde na maadui.
 
Utakuwa hujui lolote, Hivi Kikwete leo kuna mtu mwenye Ushawishi kama yeye? Unaongelea kina Warioba ambao hata Kijijini kwake hawezi itisha mkutano wakaja
 
Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo na kuwapo kwake si hadithi za uongo za watu tu.
Hivi uwepo wa Dunia hii, na kutokujuwa iliumbwaumbwaje, na pamoja na uwepo wako wewe mwenyewe na huwezi kuelezea ulikujakujaje hapa Duniani, ni kielelezo tosha kuwa yupo Mungu mtenda miujiza!🙏
 

..hakutenda haki kukata jina la Lowassa.
 
Haya ni maoni yako, Hakuna ambaye ataishi milele. Hata akifa leo haina maana kuwa uyasemayo ni sahihi kwa kila mtanzania, kuna wengi wanamuombea maisha marefu JK......
 
Hapa tunauliza watu wa Kenya watafanya nini kesho tarehe tisa August. Hatuulizi Kikwete atafanya nini kesho.
Kama yakitokea matatizo katika Uchaguzi kama ambavyo yanatokea mara nyingi Kenya ,hapo ndio Kikwete na wale waangalizi wengine watakuwa na kazi ya kufanya.
Kwa hiyo hayo maneno yako unayosema,:'Kiko wapi,Mbona Kikwete anaongoza Uchaguzi vizuri Kenya"? Maneno hayo hata Kikwete hayawezi kumfurahisha.
 
Mungu mnamsingizia vitu vingi!
 
Nimekutaka uthibitishe Mungu yupo.

Umezunguka sana lakini hujathibitisha Mungu yupo.
 
Umbona unasema uongo? Nani kakwambia anasimamia uchaguzi?
 
Hivi uwepo wa Dunia hii, na kutokujuwa iliumbwaumbwaje, na pamoja na uwepo wako wewe mwenyewe na huwezi kuelezea ulikujakujaje hapa Duniani, ni kielelezo tosha kuwa yupo Mungu mtenda miujiza!🙏
Hapana.

Katika logic, umefanya kosa moja linaitwa fallacy ya "argument from ignorance".

Yani unaweka hoja kwamba, kwa kuwa hujui dunia imeumbwaje, basi lazima imeumbwa na Mungu.

Kama hujui dunia imeumbwaje, hilo linamaanisha hujui dunia imeumbwaje.

Hilo halimaanishi dunia imeumbwa na Mungu.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Wewe kutojua dunia imeumbwaje si uthibitisho kwamba Mungu yupo.
 
Mkuu unahangaika bure,
Hawa wenzetu wao wanajua wazuri ni wa kwanza wa tatu na wa tano basi, hao wengine ni wabovu, wakiambiwa wathibitishe wanaleta story za vijiweni sasa kama sio udini ni nini?
Akili kichwani mwako,
Jamaa ni wadini kupita maelezo
Mkapa ndiye rais mwasisi wa ufisadi na uchafu wote baada ya kufanikiwa kumuua nyerere

Hapa hawasemi watu Ila ukweli mkapa ndio alileta tatizo kwenye taifa letu.

Ushenzi wote na upuuzi wote ni Mkapa
 
Mkapa ndiye rais mwasisi wa ufisadi na uchafu wote baada ya kufanikiwa kumuua nyerere

Hapa hawasemi watu Ila ukweli mkapa ndio alileta tatizo kwenye taifa letu.

Ushenzi wote na upuuzi wote ni Mkapa
Fafanua hii mkuu!.
 
Unaweza shangaa unakufa wewe unamwacha anadunda.

Ha ha ha ha

Hii dunia ina visa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…