Hakika UKIMWI ni ugonjwa wa maskini. Magic Johnson kaishi nao miaka 32

Kama ukimwi ni ugonjwa wa masikini. Inakuaje huyo bilionaire anao ukimwi?😁😁
Soma ulichoandika. Umeelewa hata wewe?
 
I wish kungekuwepo hata na movies ambazo waliigiza hao watu wa zamani ili vijana tuonyeshwe,.. maana vijana wa sikuizi wanapuuza sana mambo
Kwan unadhani zamani sana wala miaka ya 2005 huko ulikuwa kuna sehemu ukiporavkama mbeya yan mwenye ngoma unamjua tu ilikuwa ikikunasa hakuna rangi utaacha kuona, huu ukimwi sikuiz umepungua makali sana aisee yan mgonjwa wa ukimwi anashinda bar wakati kipindi kile mgonjwa wa ukimwi anashinda toi yan mavi hayakai aisee hayakai kabisa yani
 
Mkuu inaonekana kuna mengi sana unayajua... unaonaje ukianzisha uzi uwapige biti vijana wakae kwenye mstari maana hali sio shwariπŸ™‡β€β™€οΈπŸ™‡β€β™€οΈ
 
Mkuu naona ukimwi wa skuizi umechoka choka wa zamani ulikuwa sio mchezo,picha linaanza ilikuwa lazima ukonde
Ule wa zamani na wa sasa unafanana sema zamani kilichokuwa kinawafanya waasilika wakonde ni kule kutengwa na kunyanya paliwa na jamii na si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…