Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

Kama hujaoa mbunye lazima upewe kimasimango tu
 
Kama hujaoa mbunye lazima upewe kimasimango tu
Endelea kumpa buda wako kwa masimango wengine tutaendelea kuinjoy mbunye tu maana hatuko kibiashara bali kihisia😅 mapenzi ya kibiashara kumpa bahasha wako mbunye lazma uone kero
 
Ni kweli wanawake tujirekebishe bana, kwanza mwanaume ukimsaidia sana anajiona si mwanaume kamili, pia wadada wataka ndoa huchukua mikopo mikubwa na kuwapa wanaume ka investment kumbe yeye wala hakupendi kabisa.
Tusaidie mtu bila ku expect chochote in turn
 
Endelea kumpa buda wako kwa masimango wengine tutaendelea kuinjoy mbunye tu maana hatuko kibiashara bali kihisia[emoji28] mapenzi ya kibiashara kumpa bahasha wako mbunye lazma uone kero
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi hujaoa kweli unataka mbunye kirahisi jamani ujue uzinzi sio tabia nzuri kabisa
 
It save alot of pressure and dissapointments
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi hujaoa kweli unataka mbunye kirahisi jamani ujue uzinzi sio tabia nzuri kabisa
Mbunye umepewa kama zawadi ili siku moja umzawadie umpendaye😅 hicho sio kama kiosk cha kuuza maji na soda kwamba uanze kukigeuza kitega uchumi na kuuzia watu. Utafeli big time!

Think of it as a precious gift given to you by God. Ukimpenda mtu akakupenda zaidi akakuingia vizuri moyoni mpe bila kusita acheni mambo ya kishamba. We only die once but we live everyday!
 
Pole sana Mungu akutetee usije fanya maamuzi magumu ukaja jutia baadaye, tulia Mungu atakupa njia nzuri.
Yaani hao watu wengi wao ndivyo walivyo wakipata kipato kizuri wewe uliyehangaika naye unakuwa si type yake ndiyo msemo wao.
 
USITUJUMUISHE WANAUME WOTE SASA, WENGINE HATUPO HIVYO.... BE SPECIFIC, PAMBANA NA HUYO WAKO ALIYECHANA MKEKA

BTW POLE

NB: Hivi umesahau kale kamsemo kanachosema pata pesa tujue tabia zako
Ndiyo tunawajua baada ya kupata pesa!
 
Pole sana. I feel you
 
Pole sanaaa Best,ni kweli mwanaume akiwa Hana pesa mnapoanzisha mahusiano anakuwa na upendo wa kweli Tena wa agape.Mnaweza mkaanza chini siku mnapoinuka kimafanikio kiuchumi baadhi ya wanaume huanza kubadilisha na kumsahau yule waliyepambana naye katika kuyatafuta mafanikio.Ni kweli inaumiza sana ila samehe na usahau,Maana uliyempenda na kumwamini amesariti kambi.Ndio maana Kuna msemo unasema Nukuu "Pata pesa tujue tabia yako"
 
Nakubali sana Mwanangu [emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…