Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

Sasa hata hiyo ya kumpatia Kwa Bahati nayo si umeambiwa? Kuchakata mbususu sio hitaji kuu la Kila mwanaume, wewe kama ni kipaumbele chako zichakate kadri uwezavyo Mkuu.
nimeambiwa na nani, unanifahamu wewe, unataka kujifanya unanifahamu kuliko ninavojifahamu mwenyewe, mkuu naomba tuheshimiane basi, hili ni jukwaa huru, umecomment na mm nimecomment, tusipangiane maisha tafadhali sana, nad,ani umenielewa, kama una jingine sema, mtifuano uanze, tena shika adabu yako wewe.
 
You are right sir
 
Mkuu kila la heri, watu wengi tunapenda kujifunza kwa majuto na hii ni mbaya sana wakati kujizuia inawezekana.
Kujizuia ni ngumu kama binadamu maana huwa kuna maroho yanayopelekea mtu kufanya maovu sio kwa akili safi ya kibinadamu!

Funzo maana yake ni kutokurudia makosa uliokwisha fanya ambayo yangekupelekea kwenye majuto/kadhia fulani.

Mfano: mtu anafanya ujambazi mwisho wa siku ukakoswa koswa kupigwa risasi almanusura..basi asipoacha kabisa, atakua mwangalifu siku nyingine.
 
Hiyo ndio siri ya mafanikio yake,ameshajielewa bila ya hivyo kila kitu kingeyayuka,watu wengi huwa hawajui kuwa baraka mnapokuwa kwenye ndoa zinaweza kuja kupitia mmoja wenu,hivyo kwenda kinyume cha hapo kila kitu kitapotea...
Good
 
Kujizuia ni ngumu kama binadamu maana huwa kuna maroho yanayopelekea mtu kufanya maovu sio kwa akili safi ya kibinadamu!

Funzo maana yake ni kutokurudia makosa uliokwisha fanya ambayo yangekupelekea kwenye majuto/kadhia fulani.

Mfano: mtu anafanya ujambazi mwisho wa siku ukakoswa koswa kupigwa risasi almanusura..basi asipoacha kabisa, atakua mwangalifu siku nyingine.
upo sahihi sana mkuu ila ishu ya afya ni ya kuwa nayo makini sana. Afya yako, nguvu yako.
 
Kabisa kabisa! Sahizi wanawake nawaangalia tu🤣!

Enzi hizo daah! Naishia tu kusema Mungu mkubwa. Najua kuna vijana wengi wameponea kwenye Tundu la sindano🤣
 
Back
Top Bottom