Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

Most African men are womanizers.They're not loyal at all.

Ukiona mwanaume wa kiAfrica asiyechepuka jua huyo Ni Hana pesa umaskini unawaponza wanaume wengi Sana huku Africa ila wakizipata wanafunguliaa mbwa sio poa kbsa.
 
Anajijua yeye ni pesa hivyo anakaa nao mbali na kwa umakini
Akikosea akishika vibaya tu kiuno ratiba za mahakamani zinaanza
[emoji3531]
Screenshot_20230907-135958.jpg


Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
🤣labda sio sisi watanzania huku ngono ni tamu sana hasa lile jiji litakaloaangamizwa 2024
😝😝😝😝 ngoja niondoke kabla ya maangamizi.

Ila watu waaminifu wapo, kuna watu mapenzi na sex ni katika harakati za kutimiza “ukamilifu” tu na sio kwamba ndio kitu ambacho wanakiangalia sana katika maisha.
 
😝😝😝😝 ngoja niondoke kabla ya maangamizi.

Ila watu waaminifu wapo, kuna watu mapenzi na sex ni katika harakati za kutimiza “ukamilifu” tu na sio kwamba ndio kitu ambacho wanakiangalia sana katika maisha.
Mtanisamehe! Ndugu zangu.

Kwangu Mimi ngono ni zaidi ya ukamilifu, raha, tiba ya kisaikolojia na mengn
 
UNAAMBIWA Lionel MESSI hajawahi kumgusa mwanamke mwingine zaidi ya mkewe Antonela Roccuzzo aliyeanza naye mahusiano tangu utotoni huko Rosario, Argentina.

Mnamo 2017, Messi na Antonella walifunga ndoa iliyotajwa kama ‘ndoa ya karne’ na kujaaliwa watoto watatu Thiago, Mateo na Ciro.

Raccuzzo ambaye kwa sasa ni Mwanamitindo ana taaluma Udaktari wa meno na mawasiliano ya kijamii aliyosomea katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Rosario kabla ya kujitolea kumsaidia Messi na kuzingatia familia yao.

Kupitia taaluma yake ya Uanamitindo amefanya kazi na chapa maarufu kama Stella McCartney, Adidas, na hivi majuzi, Alo.

Messi anampenda sana mwanamke huyo mrembo amejitolea sana kwake kiasi kwamba hata hawagusi wanawake wengine. Inaelezwa Messi alitaka kuwa mchezaji bora wa soka duniani ili aweze kumhudumia Roccuzzo na kumpa maisha mazuri.

Walipofunga ndoa, mashabiki wengi wa kike walijaribu kujaribu kumshawishi. Shabiki mmoja Suzy Cortez (almaarufu Miss BumBum) alijichora tatoo ya Messi mwilini mwake na kujaribu kumtumia picha zake akiwa katika jezi yake lakini Messi alim-block mara moja.

Messi amekuwa katika muonekano usio wa kawaida anapokuwa karibu na Wanawake wengine katika picha akiibana mikono yake au hata kuiweka mifukoni kuliko kugusana au hata kuweka begani kwa mwanamke mwingine.

Messi hufanya hivyo kuepuka vyombo vya habari kupindisha picha hizo kwa njia isiyo sahihi na kufanya ionekane kuwa kuna kitu kinaendelea wakati hakipo.

Mwanamuziki Shakira alipiga naye picha lakini alijiweka mbali na kuweka wazi kuwa mambo ni ya kiplato kabisa. Hamwekei mikono mwanamke mwingine kwa sababu kwake, ukaribu wa kimwili unabaki kwa mke wake tu.

Messi ni mmoja wa wanaume wachache ambao huweka mipaka kwa wanawake ambao sio mke wake. Anataka kuishi maisha ya faragha na Roccuzzo na watoto wao, na anaweka wazi mara kwa mara kwamba ana upendo wake ni kwa mpenzi wake huyo wa tangu ujanani.

NB: Uhusiano wa kiplato (platonic relationship) ni ule ambao watu wawili wana uhusiano wa karibu lakini hawana uhusiano wa kimapenzi. (Dhana hii inatokana na mawazo ya mwanafalsafa wa kale Plato). Kwenye hili wanaume wengi tutafeli.

Wanawake yapi maoni yenu kwa aina hii ya wanaume wenye tabia ya kufanana na Messi?
View attachment 2740981View attachment 2740982
Nna wasiwasi kama we ni he,na kama ni he basi ni mvulana mdogo mwanafunzi uliyevurugwa na penzi la chuo,so akili yako inakutuma uko hivyo.Kuhusu Messi sidhani kama hyo story ya kusadikika uliyoileta kama ni kweli,ila mtu maarufu yoyote wa ulaya na mwenye pesa anawindwa kuanzia na washindani wake,maadui zake na hata malaya wanaotaka kuvuna kwa kutengeneza kesi za uongo za kubakwa au kujizalisha watoto.Jamaa kama mwanaume lazima anapenda papuchi ila amefanikiwa kumantain low profile.
 
Back
Top Bottom