mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 2,266
- 4,057
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umewaza mbali mkuuAnajijua yeye ni pesa hivyo anakaa nao mbali na kwa umakini
Akikosea akishika vibaya tu kiuno ratiba za mahakamani zinaanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umewaza mbali mkuuAnajijua yeye ni pesa hivyo anakaa nao mbali na kwa umakini
Akikosea akishika vibaya tu kiuno ratiba za mahakamani zinaanza
Huko mbele ukiwa na mpunga mwingi, na maarufu swala la wanawake inabidi uishi nao kikatili,Sheria inawasikiliza na kuwalinda ,unaweza kuhukumiwa leo hata kwa kosa ulilofanya mwaka 1970 ,rejea R.Kelly ,Billy Cosby na wengineo,Kupanga ni kuchagua,wanaume mnaweza kuwa loyal mkiamua...
Suarez pia nilisikia mke wake wameanza mahusiano tangu enzi na enzi
Kwa suarrez simuamnKupanga ni kuchagua,wanaume mnaweza kuwa loyal mkiamua...
Suarez pia nilisikia mke wake wameanza mahusiano tangu enzi na enzi
Ndivyo maisha yalivyoYani Messi anakula "K" moja tu maisha yke yte, duh anazngua sn na usikute yeye katulia Ila mkewe huko nje anagawa uchi kimykimy maskini [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyama hawana utashi wa kibinadamuHuyo sio mwanaume,mwanaume kiasili hajaumbwa kuwa na mwanamke mmoja,hata wanyama tu ni mfano rahisi,hawanaga jike moja,over
Tuma mkuu ruksaNimekopy link ya huu uzi naenda kutuma kule kimasihara kwa rickboy naruhusiwa?
Unafikiri kwa nini kuna dini zinaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja,unadhani hazina huo utashi unaousema?Wanyama hawana utashi wa kibinadamu
Ahahaaaa...! Ratiba za mahakamaniAnajijua yeye ni pesa hivyo anakaa nao mbali na kwa umakini
Akikosea akishika vibaya tu kiuno ratiba za mahakamani zinaanza
Hizo dini walikaa watu kama sisi wakatunga sheria hiyo sidhani kama ina maana yeyote.Unafikiri kwa nini kuna dini zinaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja,unadhani hazina huo utashi unaousema?
Safi sana. Natamani kurudi huko,lakini nimeshachelewa. Tayari nimepita nao sana.UNAAMBIWA Lionel MESSI hajawahi kumgusa mwanamke mwingine zaidi ya mkewe Antonela Roccuzzo aliyeanza naye mahusiano tangu utotoni huko Rosario, Argentina.
Mnamo 2017, Messi na Antonella walifunga ndoa iliyotajwa kama ‘ndoa ya karne’ na kujaaliwa watoto watatu Thiago, Mateo na Ciro.
Raccuzzo ambaye kwa sasa ni Mwanamitindo ana taaluma Udaktari wa meno na mawasiliano ya kijamii aliyosomea katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Rosario kabla ya kujitolea kumsaidia Messi na kuzingatia familia yao.
Kupitia taaluma yake ya Uanamitindo amefanya kazi na chapa maarufu kama Stella McCartney, Adidas, na hivi majuzi, Alo.
Messi anampenda sana mwanamke huyo mrembo amejitolea sana kwake kiasi kwamba hata hawagusi wanawake wengine. Inaelezwa Messi alitaka kuwa mchezaji bora wa soka duniani ili aweze kumhudumia Roccuzzo na kumpa maisha mazuri.
Walipofunga ndoa, mashabiki wengi wa kike walijaribu kujaribu kumshawishi. Shabiki mmoja Suzy Cortez (almaarufu Miss BumBum) alijichora tatoo ya Messi mwilini mwake na kujaribu kumtumia picha zake akiwa katika jezi yake lakini Messi alim-block mara moja.
Messi amekuwa katika muonekano usio wa kawaida anapokuwa karibu na Wanawake wengine katika picha akiibana mikono yake au hata kuiweka mifukoni kuliko kugusana au hata kuweka begani kwa mwanamke mwingine.
Messi hufanya hivyo kuepuka vyombo vya habari kupindisha picha hizo kwa njia isiyo sahihi na kufanya ionekane kuwa kuna kitu kinaendelea wakati hakipo.
Mwanamuziki Shakira alipiga naye picha lakini alijiweka mbali na kuweka wazi kuwa mambo ni ya kiplato kabisa. Hamwekei mikono mwanamke mwingine kwa sababu kwake, ukaribu wa kimwili unabaki kwa mke wake tu.
Messi ni mmoja wa wanaume wachache ambao huweka mipaka kwa wanawake ambao sio mke wake. Anataka kuishi maisha ya faragha na Roccuzzo na watoto wao, na anaweka wazi mara kwa mara kwamba ana upendo wake ni kwa mpenzi wake huyo wa tangu ujanani.
NB: Uhusiano wa kiplato (platonic relationship) ni ule ambao watu wawili wana uhusiano wa karibu lakini hawana uhusiano wa kimapenzi. (Dhana hii inatokana na mawazo ya mwanafalsafa wa kale Plato). Kwenye hili wanaume wengi tutafeli.
Wanawake yapi maoni yenu kwa aina hii ya wanaume wenye tabia ya kufanana na Messi?
View attachment 2740981View attachment 2740982
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Nimecheka peke yangu. Kwa hiyo ipo siku itaibuka tu?Siamini...wanaume wote sisi ni mbwa
Wapi huko latini America?Safi sana. Natamani kurudi huko,lakini nimeshachelewa. Tayari nimepita nao sana.
Unafikiri walitunga hizo sheria bila kufanya utafiti wa kina wa chanzo cha wanaume wengi kuwa na wanawake wengi?Hizo dini walikaa watu kama sisi wakatunga sheria hiyo
Lazima kuna tatizo mahala kwako mkuu. Alisikika mama mkweNakosaje? Mimi ndio kijana wa kuigwa mtaani
Tafiti gani ilifanyika na inaitwaje, hao ni wachache walitengeneza mazingira ya kujimilikisha wanawake. Kama walikuwa na utashi unaousema mbona kuna baadhi ya mambo ni ya hovyo kabisa na ni hao hao waliyaweka?Unafikiri walitunga hizo sheria bila kufanya utafiti wa kina wa chanzo cha wanaume wengi kuwa na wanawake wengi?
Tatizo hakuna mkuuLazima kuna tatizo mahala kwako mkuu. Alisikika mama mkwe
Broo,kama wewe kweli ni mwanaume kweli na umeoa,tokea uoe hujawahi kutoka nje ya ndoa??Tafiti gani ilifanyika na inaitwaje, hao ni wachache walitengeneza mazingira ya kujimilikisha wanawake. Kama walikuwa na utashi unaousema mbona kuna baadhi ya mambo ni ya hovyo kabisa na ni hao hao waliyaweka?
Bado sijaoa mkuuBroo,kama wewe kweli ni mwanaume kweli na umeoa,tokea uoe hujawahi kutoka nje ya ndoa??
Be honest
Ahahah hapana kile unavaa tu af unatokaNgoja nkishajiajiri kuuza tikiti nitakichukua