Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

Kuacha pombe sio rahis kiivo, utaaacha Kwa kipindi flan siku mzuka wake ukija utatembea Kwa miguu na mikono😁, Ile unafika tu unapiga kama glass kadhaaa ukimaliza ndo utulie uanze kunywa rasmi
Yaan natamani kujua uzuri wa pombe ni upi? Unakuta mtu anakunywa anakunja sura ila haachi anaendelea kunywa. Huwa mnajisikiaje yaan ndio nataka kujua.
 
Sisi tusiokuwa walevi tumewakosea nini? 😂
Namimi nasubiri jibu, japo niliwahi ambiwa na x wangu kuwa tusiokuwa walevi tuna vinyongo sana. Sijajua alichukua sample ya watu wangapi.
 
Yaan natamani kujua uzuri wa pombe ni upi? Unakuta mtu anakunywa anakunja sura ila haachi anaendelea kunywa. Huwa mnajisikiaje yaan ndio nataka kujua.
Izo ni pombe za bei rahisi ndo zinakunjisha sura mpaka mwili unakufa ganzi kama gongo na visungura

wanywaji naoongelea mimi ni wanaokunywa pombe za aina hii
 
Mwsnaume wsko aliyekutenda siyo kama sisi wsnaume husband materials

Halafu sisi tusio walevi tumekukosea nini binti?
 
Mwenye hofu ya Mungu wakati huo awe mlevi,😆
Inasikitisha sana watanzania kukariri maneno yasiyokuwa na maana.

Utasikia ''anaempenda Mungu'', au, ''mwenye hofu ya Mungu''

Haya ni maneno yasiyo na maana yeyote na ni ya kijinga tu.

Kuwa na hofu ya au kumpenda Mungu ndio nini?

Nani kasema kutenda mazuri, kuwajibika au kuwa mtu mwema ni hadi uwe na hofu na Mungu au umpende Mungu?

Mungu yupi kwanza?

Mbona kuna Mungu wengine wanaamrisha watu wachinjwe, na kuna Mungu mwingine anahalalisha hadi biashara ya utumwa.

Mnaposemaga hofu ya Mungu sijui kumpenda Mungu huwa mnamaanisha nini?

Hizi ni kauli za kijinga kabisa za watu wapumbavu.
 
Umeandika upupu

How Old are you please
 
Kuna wanawake wa kuolewa miaka hii au unatania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…