Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kuacha pombe sio rahis kiivo, utaaacha Kwa kipindi flan siku mzuka wake ukija utatembea Kwa miguu na mikonoš, Ile unafika tu unapiga kama glass kadhaaa ukimaliza ndo utulie uanze kunywa rasmiKitu kinawatesa lakini mnarudia tena. Kuna siri gani kwenye pombe?