Hakikisha mke wako hana mwanaume mwingine nje, siku akiwa naye hatokupenda tena mpaka atakufa

Pole sana ndugu yangu, jipige kifuani mara tatu tamka " hili nalo litapita"
Nawasanua wana musije kusema sijawaambia.

Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
Jiulize ni kwa nini wanawake awe ameolewa na tajiri au maskini lakini siku mumewe akifa hua anapta furaha na raha zaidi.


Wanawake ni wasaliti kuliko wanaume . Kinachowasaidia ni uwezo wao wa kutunza siri. Mwanaume hawezi kumsingizia mwanamke mtoto lakini mwanamke anaweza kumsingizia mwanaume hata watoto watano na hatakaa hata siku moja ajue labda iwe vinginevyo .

Ikatokea mwanamke akawa na mwanaume nje ya ndoa halafu ikatokea mtoto wake wa kuzaa akashtukuza mchezo na akamwambia baba yake live kuwa yule anko Jezuu anakujaga kulala na mama ukiwa umesafiri . Hakika kama kuna mafuta yanachemka au maji ya moto au shoka pembeni mwanamke bila shaka yoyote atamwagia mtoto wake na au kumuua au kumjeruhi vibaya sana. Na atakua ni adui mkubwa maisha yake yote .
Yote ni kwa sababu mwanamke kamwe hataki siri yake ya kuchepuka ijulikane.
Tofauti na mwanaume.

Kuna wanaume wengi wanajidanganya kuwa wanawake hawachepuki kama wanaume , hiyo ni nadharia ya zamani wakati wanawake wana keketwa na pia palikua hakuna kazi maofisini au safari za biashara za kuwakutanisha wanawake na wanaume tofauti tofauti.
Kwa sasa wanaume wengi hawana hata huo uwezo wa kuchepuka na wanawake tofauti tofauti kutokana na kukosa nguvu na hamu ya tendo la ndoa kutokana na ugumu wa maisha .
Wanawake kwa sasa wana pesa za kuhonga vijana wadogo kwa sababu ya tamaa za ngono.

Ngoma imebalance kwa sasa.
 
Waambie hao wapenda kuchepuka na kuumiza mioyo ya wake zao bila kujali. Hata walio na man gerifrendis au wachumba. Wengi wenu wanaume hamjitambui mnapiga nje huku na kule hadi muachwe mataaaaaa
 
Umeonge bonge la point.👍👍
 
Deal na mambo ya msingi hilo litakutesa na hautafanikiwa....
 
Utakuja ufe wima ww mwanamke hachungwi anaweza kuwa wa madhabahuni mpk unaiona mbingu home lkn behind kumbe anafinywa kinyama na akiiona dudu anavyoinyonya km mtt kwny titi la mama yake
 
Hakikisha hamwiti mchungaji DADDY
 
Bado unajidanganya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…