Hakikisha mke wako hana mwanaume mwingine nje, siku akiwa naye hatokupenda tena mpaka atakufa

Nawasanua wana musije kusema sijawaambia.

Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
Mkuu, mtazamo tofauti, Mwanaume ukitaka amani usiendekeze kutamani kupendwa pendwa. We mpe kumbukumbu za kudumu.

Ukiwa na mwanamke mpe mimba za kutosha lea wanao akikutaka mpe haki yake, asipotaka akiwatazama wanao atakukumbuka, mambo ya kupenda mwachie mwenyewe yasikuhusu.
 
Mkuu hata ukifanya uliyoandika hapa mtu akiamua kutoka atatoka tu
 
Inategemea kwenye chemistry tunasema at standard temperature and pressure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…