Naangalia japo ka upenyo ka kuona hawa vijana wapo sawa ,ila nashindwa kuwatofautisha na wale wadada wanakwenda uturuki ili kujazia makalio ili wawanase vibompa 🤔 binafsi nalinganisha hili jambo nashindwa kabisa kuona kama wapo sawa .Mizimu ya ukoo wetu, Ina weza fufuka ini pige😂🤣
Hayo umesema wewe ndgu.Kwahyo unavyosema story za mule ni za uongo sasa yako uliweka ya nin?? Inamaana hata yako pia ni ya uongo??
😆😆😆 Duh!!Soma uelewe
Wewe inafahamika mkuu, na kesho njoo bandarini upakue viroba vya sukari mkuu.Mimi ni raisi wa ma jobless pro max, hivyo nitoe kwenye matajiri wa jf😂🤣
Sasa wew unaijuaje heshima ya mwanamke au tabia zake bila kuwa nae kweny mahusiano. Mwanamke anaweza kuwa na heshima ila huwez kuiona bila kuwa na mahusiano nae..... ndoman kabla ya kuoa kuna kipind cha uchumba kuchunguzana mkishindwana mnaachana mapema kabla ndoa....Okay so huwaga unaangalia muonekano kwanza kama ana Tako au matiti mazuri then Heshima, Nidhamu na uwajibikaji wake mtavumiliana.
I got you.
I listen, I don't judge.
✊🏿👊🏾👍🏾
Kumbe na wewe umetoboa kupitia mshangazi?? Moe tips mwenzako PSL god sasa.Hatujireveal kwa strangers ila ningekuonesha ungeshangaa hatua niliopiga kupitia yeye
Anhaa!! Kumbe.Sasa wew unaijuaje heshima ya mwanamke au tabia zake bila kuwa nae kweny mahusiano. Mwanamke anaweza kuwa na heshima ila huwez kuiona bila kuwa na mahusiano nae..... ndoman kabla ya kuoa kuna kipind cha uchumba kuchunguzana mkishindwana mnaachana mapema kabla ndoa....
Ila cha kwanza ambacho kinakuvutia kwa mwanamke hadi unamtongoza ni uzuri wake...🥴🥴
saa ngapi ili niwa shitue Wanangu wa faida 😆 🤣Wewe inafahamika mkuu, na kesho njoo bandarini upakue viroba vya sukari mkuu.
Monie mwanangu, andaa kichwa tu.saa ngapi ili niwa shitue Wanangu wa faida 😆 🤣
jau sana😆🤣Naangalia japo ka upenyo ka kuona hawa vijana wapo sawa ,ila nashindwa kuwatofautisha na wale wadada wanakwenda uturuki ili kujazia makalio ili wawanase vibompa 🤔 binafsi nalinganisha hili jambo nashindwa kabisa kuona kama wapo sawa .
kwa kila mfuko au ni elfu 4 kutwa😆Monie mwanangu, andaa kichwa tu.
Mkuu inaonyesha uko fit sana, njoo nikusajili uwe unasomba mbao kutoka bondeni mpaka pa kupakiliai!!saa ngapi ili niwa shitue Wanangu wa faida 😆 🤣
Mwanangu kuna visa ni vyauongo nakubali ila vingine ni ukweli ila mazingira huwez kuamini..Hayo umesema wewe ndgu.
Mimi niliweka ya kweli ila niliachana nao baada ya kupitia za wadau wengi na wengine wengi wanaoendelea kutililika mule, siku hizi ni uongo mtupu.
Haina kwere askari wangu, nikija na wanangu wawili ni yente??Mkuu inaonyesha uko fit sana, njoo nikusajili uwe unasomba mbao kutoka bondeni mpaka pa kupakiliai!!
Alafu hiki kisa na kile cha mmama wa michezo mbona hukuhadithia kwenye uzi wa kimasihara!!!Mwanangu kuna visa ni vyauongo nakubali ila vingine ni ukweli ila mazingira huwez kuamini..
mfano mim na mwanangu wakati nipo advance nlihamia day mbeya baad ya kuhama iringa boarding. Tulikuwa tunajishughulisha na bajaji huku tunasoma na tulishawah mgonga abiria kwenye bajaji tukiendesha kwa zam kutokea city pub mpka kwake uyole ndani huko majumba mapya alipanga ..
Sijawah kuhadithia sababu najua watu watasema chai ila ni kisa cha kweli ambacho watu hawawez kuamini.... tatizo ni mazingira tu
Ee mkuuAnhaa!! Kumbe.