Hakimu atoa onyo kali kwa Lissu na wenzake kutodharau Mahakama pale inapokuwa imeketi

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama.

Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election"

Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale anapokuwepo Hakimu, hivyo Hakimu anavyoingia Mahakamani akakaa, Mahakama inakuwa imekamilika bila kujali upande wowote upo au haupo, hivyo maneno ambayo yalisemwa na mshitakiwa Tundu Lissu ("No Reforms No Election" )hayakuwa sahihi kwasababu mahakama ilikuwa tayari imekaa. Na hata waliotikia hawakuwa sahihi kwasababu baada ya Mahakama tu kuwa imekaa, anayeongoza mahakama ni Hakimu na hakuna mwingine anayepaswa kuongea isipokuwa Mahakama kwa maana ya Hakimu.

Your browser is not able to display this video.
​
 
Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama.

Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election"
huu uropkaji wake ndio haswa umemfanya anasota korokoroni huyu kibaka na tapeli wa kisiasa nchini πŸ’
 
Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama.

Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election"
No Reforms No ElectionπŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺπŸΏπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨βœŒπŸΏβœŒπŸΏβœŒπŸΏβœŒπŸΏπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 
Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama.

Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election"
huu uropkaji ndio haswa umemfanya anasota korokoroni huyu kibaka na tapeli wa kisiasa nchini πŸ’
Kafie mbele huko,
changia hoja bila kuropka gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…