meghan markle I hope the universe brings you back here, and I promise I won't *** it up.hichi kitu kinaumiza ni kweli,
hata mimi kuna watu napenda tu niwaone humu jf japo sio physically. ila nisipo waona kwa muda mrefu nahisi kuna kitu kita miss
Utawapata tu muda sahihi ukifika. Ephen kila mtu ana muda wake.
Muda wako wa kupata wachumba ukifika, basi utawapata tu hakuna haja ya kutumia nguvu.Kwamba?
Udomo zege humu au hata offline?Inakuaje mwanaume huna hela halafu unakua domo zege?
😂Kumbe nataka wachumba na mie sijui!Muda wako wa kupata wachumba ukifika, basi utawapata tu hakuna haja ya kutumia nguvu.
MtaaniUdomo zege humu au hata offline?
Tusimulie tu kilichotokea, hakuna namna 🫠🤭Pole sana mkuu, naelewa unachopitia.
Mimi nishakubaliana na hali, kwanza mlalahoi sina hili wala lile...
Pole, it seems like ulimpenda kweli 💔meghan markle I hope the universe brings you back here, and I promise I won't *** it up.
Kweli vijana wamevurugwa, nyege zinawafanya mjifunze fasihi kwa hali na mali.
Jamani! Ndo maana nasema uache ushamba!😂Kumbe nataka wachumba na mie sijui!
Asante kwa kunichekesha
Saidi Makalala nakuona upo Bingwa wa Kuzengea .Pole sana mkuu, naelewa unachopitia.
Mimi nishakubaliana na hali, kwanza mlalahoi sina hili wala lile...
Mshamba mwenyeweJamani! Ndo maana nasema uache ushamba!
Hapo nimetumia kauli ya nafsi ya pili umoja ili kukuelewesha vizuri.
Nimegundua Hilo baada ya yeye kupotea💔, you only know your lover when you let her goPole, it seems like ulimpenda kweli 💔
Kutongoza ni Sanaa.Mtaani
Mshamba anamjua mshamba mwenzie🌚Mshamba mwenyewe
Ukishaona hela ya kuhonga huna na mbunye unazitaka huna budi kuchangamka!Kutongoza ni Sanaa.
Sijawahi kua na mtoto humu naishia tu kudata na maandishi & flirting za hapa na pale.Mhh mhh Kumbe huu ni uwakilishi wa Nyegge huu.
Tajiri na wewe yule wako simuoni oni siku hizi😁😁