Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Bei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa.
Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi.
Madeni ya taifa yanamuumiza raia wa kawaida kwa nguvu kubwa. Bunge linapitisha serikali ikoope tril 10. Lakini zinakopwa tril 15 bila maelezo. Sasa hapa kwa nini raia wa kawaida wasiumie?
Mama anaupiga mwingi kuumiza wanyonge!