Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwa vile hakuna WATU WASIOJULIKANA na hakuna habari za kutekana tekana ovyo.
Hakuna kugawa kugawa fedha ovyo barabarani.
Matatizo mengine ni ya kimfumo wa wa CCM kuwa mbovu.
Huyu mama atutawale tu kule yule mzee wa Chato. Nchi iliongozwa kishamba mpaka ikawa aibu kusema I'M A TANZANIAN.
Bora kutekana kuliko hali ya sasa....watu wanateseka mno. Umeme na maji ni vitu basic sana kwa mtanzania wa sasa....ila hayo hamyaoni.Kwa vile hakuna WATU WASIOJULIKANA na hakuna habari za kutekana tekana ovyo.
Hakuna kugawa kugawa fedha ovyo barabarani.
Matatizo mengine ni ya kimfumo wa wa CCM kuwa mbovu.
Huyu mama atutawale tu kule yule mzee wa Chato. Nchi iliongozwa kishamba mpaka ikawa aibu kusema I'M A TANZANIAN.
Na mimi nasema hivi, MUNGU FUNDI!! kuna lipi la ajabu ambalo huyo shujaa wenu angelifanya sasa?!!zaidi ya kutuachia mzigo wa madeni ambayo hayana maelezo!! ni mara ngapi umeme ulikuwa una katika lakini wahusika wanaogopa kusema kama kuna mgao?!! kipindi kile wananchi wanalalamika kuwa vyakula vimepanda bei sana, anasema tena wakulima pandisheni kabisa, ukitaka nenda kalime. ADUI WA NCHI HII NI MSITU NA WALA SIO NYANI. Bora hata sasa kwenye mapungufu mnaambiwa tu ndio uongozi kuliko lile jamaa kila kitu uongo tu.Bora kutekana kuliko hali ya sasa....watu wanateseka mno. Umeme na maji ni vitu basic sana kwa mtanzania wa sasa....ila hayo hamyaoni.
Wananchi wanalalamika, Mrs tourism naye anawalalamikia wananchi.
Big sign of incompetence in that high office.
Mama Samia anahangaika sana kutafuta hela ambazo kwasababu ya wingi wa mianya ya wizi ,zote zinaishia mikononi mwa wajanja wachacheBei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa.
Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi.
Madeni ya taifa yanamuumiza raia wa kawaida kwa nguvu kubwa. Bunge linapitisha serikali ikoope tril 10. Lakini zinakopwa tril 15 bila maelezo. Sasa hapa kwa nini raia wa kawaida wasiumie?
Mama anaupiga mwingi kuumiza wanyonge!
Mama kapwaya pakubwa, CCM ndio imefeli kabisaHizo kauli za uwepo wa hujuma ni za kujihami tu ili kuficha madhaifu lakini kiuhalisia utendaji ni mbovu na hakuna mategemeo katika lolote.
Angetekwa mama yako leo unge comment hivi?Bora kutekana kuliko hali ya sasa....watu wanateseka mno. Umeme na maji ni vitu basic sana kwa mtanzania wa sasa....ila hayo hamyaoni.
Wananchi wanalalamika, Mrs tourism naye anawalalamikia wananchi.
Big sign of incompetence in that high office.
ShutupMatusi, ubaguzi, uuaji na kutothamini uhai wa wananchi ndiyo legacy pekee aliyoiacha mwendazake.
Huwa nashangaa sana mwana CCM anapokosa sifa za mwendazake.
Yule kijana aliyechora ile katuni ya mama akiboronga na jk akimkingia kifua alitakiwa apewe nishani badala ya kukamatwa na kufunguliwa mashtakaBei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa.
Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi.
Madeni ya taifa yanamuumiza raia wa kawaida kwa nguvu kubwa. Bunge linapitisha serikali ikoope tril 10. Lakini zinakopwa tril 15 bila maelezo. Sasa hapa kwa nini raia wa kawaida wasiumie?
Mama anaupiga mwingi kuumiza wanyonge!
Nsamvilwe weee, tena Lupepelezyo kabisa weweShutup
Anaborongaje? Ndio maana Wananchi wanawapuuza..Bei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa.
Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi.
Madeni ya taifa yanamuumiza raia wa kawaida kwa nguvu kubwa. Bunge linapitisha serikali ikoope tril 10. Lakini zinakopwa tril 15 bila maelezo. Sasa hapa kwa nini raia wa kawaida wasiumie?
Mama anaupiga mwingi kuumiza wanyonge!
Ndio maana Hawa jamaa wanapuuzwa.Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya uongozi shupavu wa Rais mama Samia suluhu Hassani umekuwa Ni uongozi uliojikita katika kuwatumikia watanzania, imejikita katika kutatua matatizo ya watanzania,kutoa majibu kwa maswali, kuleta matumaini kwa waliokata Tamaa, kuonyesha njia kwa waliopoteza njia,kuleta mwanga kwenye maisha ya watanzania waliopoteza nuru na kuona Giza machoni mwao,kuleta Tabasamu katika maisha ya watanzania kwa walio na huzuni.
Hakuna kero ambayo haifanyiwi kazi na serikali ya Mama Samia,hakuna swali linalokosa majibu. Vijana Wana Imani na uongozi wa mama Samia kwani Ni mashahidi kuwa muda mfupi tu baada ya kuapishwa Rais Samia alitoa maelfu ya ajira katika secta mbalimbali zinazofikia elfu 42, Hali hii ilileta kicheko na furaha kwa vijana wengi wa kitanzania walioguswa na kupata ajira hizi
Ukienda katika wakulima unakuta wamejaa Tabasamu usoni Pao Hadi mioyoni mwao baada ya Rais Samia kutoa mbolea za Ruzuku ambazo zimewanufaisha wakulima wengi sana,.
Ukienda katika Afya,Elimu, n.k unakuta kazi kubwa imefanyika katika kugusa maisha ya mtanzania
Mnaumia kuliko kipindi gani? na ni hivi hivi tu kwa serikali ya ua chama chetu pendwaBei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa.
Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi.
Madeni ya taifa yanamuumiza raia wa kawaida kwa nguvu kubwa. Bunge linapitisha serikali ikoope tril 10. Lakini zinakopwa tril 15 bila maelezo. Sasa hapa kwa nini raia wa kawaida wasiumie?
Mama anaupiga mwingi kuumiza wanyonge!
Ndio maana Watanzania wanawaona Kama wahuni na wababaishaji tuNdio maana Hawa jamaa wanapuuzwa.
Bora kutekana?.Ukaona aibu kwa nani wewe shoga? Bora kutekana kuliko hali ya sasa....watu wanateseka mno. Umeme na maji ni vitu basic sana kwa mtanzania wa sasa....ila hayo hamyaoni.
Wananchi wanalalamika,Mrs tourism naye anawalalamikia wananchi.
Big sign of incompetence in that high office.