Hakuna anayemhujumu Rais Samia. Wananchi kwa macho yao wanaona namna anavyoboronga ila hawana mbadala kwa sasa

Kuna wahuni bado wanamlaumu Mama, hasa hawa wa CHADEMA
 
"endapo hiyo namna ya ku-run nchi (kuongoza nchi) hivi sasa deni letu ‘seventy trilioni’ (Sh70 trilioni). hivi nyinyi si wasomi ‘is that healthy’ (hiyo ni afya). Kuna siku nchi itapigwa mnada hii,”
 
Ndio ,kwani alifanya mradi gani wa maana wakati alikuwa busy na ma stand na madaraja?

Bajeti yenyewe ilikuwa kiduchu na haitekelzwi Pesa anaenda kuwapa genge lake la mauaji na kununua Wapinzani..

Mwanza Sasa watapata uhakika wa Maji baada ya mama kufungua pochi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221118-125408.png
    159.7 KB · Views: 2
Kukopa kulianza zamn syo awamu ya 5 tu. Mbona mnajitoa akili sana nyie ccm kisa awamu x hukulamba sukari km awamu zingine?
Excuse me sir/Madam

Mimi sio mwana ccm, usinikosee heshima kiasi hicho
 
😁 ulikuwa mmoja kati ya watu wa genge hilo sema hukulipwa ndo maana unatoa siri. Kwa hyo madaraja siyo mhimu? We si ndo huwa unalinga na barabara inayoenda kujengwa na rais hapo dodoma!! Syo ninyi mnaokopa na tozo kwa ajili ya madarasa kila mara? Siyo Magufuli aliyesambaza umeme vijiji vingi? Ila haya mambo bhana, Mwanza inaenda kupata uhakka wa maji wakat kilio kikuu kiko dsm 😁
 
Kazi ya Rais Ni kujenga madaraja tuu? Sekta zingine vipi mbona alizitelekeza hususani kilimo,maji,umeme na ajira
 
Tuache unafiki Samia yupo safiii. mze alikaba
ubandidu mwingi,mikwala mingi, nenda north kule kwa Akina mangi kaongee upuuzi kama huu uone kitakacho kukuta

watu walikufa,walifirisiwa,wali tishwa, wakakimbia inchi.walipigwa risasi.

Kina Roma kidogo kunaniliwa😂😂
mpaka leo wapo another countries mkuu hizo Bei za mahindi, tozo,umeme,maji, nk ni effects za mshua

ushawai jiuliza alitoa wapi pesa za miradi? Ukiwa na mil 100 una achia mil40 au ufe au ufirisiwe

na ukiwa tajiri jiunge na ccm hutaki unapewa uraia wa Burundi😂😂 vipi mkuu unataka utu rudishe kule tena
 
Kazi ya Rais Ni kujenga madaraja tuu? Sekta zingine vipi mbona alizitelekeza hususani kilimo,maji,umeme na ajira
Kweli we ni genge la walamba asali. Umeme vijijini ulisambaa na ulikuwa haukatiki kama hivi sasa, naona ukame ulikimbia kipindi cha jpm. Maji sikuwahi kuona wananchi wa dar wakilia km hivi sasa, ajira alibana huenda alikuwa sababu zake hasa za watumishi hewa. Alizuia mfumko wa bei na mbolea watu hawakulialia km hv sasa. Tanzania haikuwa kuongelewa kuletewa msaada wa chakula kutoka Japan kama ilivyo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…