Hakuna furaha kwenye uuaji, damu ya binadamu ina roho

Huwa danadana nyingi wanakamatwa na kuachiwa hata huyo mjane wa cohen familia iliweka pingamizi asiwe na access na mali za marehemu kwanza lakini akapewa na akatumia vzuri kutuliza kesi.
Huyo gavana since day 1 niliona kuwa hakuna kesi pale.
Duuuh kenya hiyo????Au kesi walifanyia ulaya kwa wadachi??
 
Uko sahihi.
Kuna mtu usipomuua kwa aina ya kosa alilofanya, unakosa raha kabsa milele yote.
Hadi Kuna dini zinaamin baadhi ya dhambi hazisafishiki zaidi ya kumwaga damu ya muhusika kama sadaka.
Kuna makosa namna pekee ya kumsamehe mhusika ni kumuua!
 
Kama kosa lipi mkuu
 
Duuuh kenya hiyo????Au kesi walifanyia ulaya kwa wadachi??
Kenya, huyo bilionea alimuoa mkikuyu yeye alikuwa mkubwa sana kuliko huyo mwanamke na biashara zake zilikuwa kenya na alikuwa na utajiri wa dola milion 700. Ila alikuwa ashajua kuwa mwanamama anataka kumuua na utajiri wake mkubwa alimwachia dadake na watoto wake wawili
 
Kwahiyo mpaka leo dadake na wale watoto wawili ndio wamiliki????Hapo kidogo haki imetendeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…