Hakuna furaha kwenye uuaji, damu ya binadamu ina roho

Hakuna furaha kwenye uuaji, damu ya binadamu ina roho

Huwa danadana nyingi wanakamatwa na kuachiwa hata huyo mjane wa cohen familia iliweka pingamizi asiwe na access na mali za marehemu kwanza lakini akapewa na akatumia vzuri kutuliza kesi.
Huyo gavana since day 1 niliona kuwa hakuna kesi pale.
Duuuh kenya hiyo????Au kesi walifanyia ulaya kwa wadachi??
 
Sio kila kuua ni dahambi na sio kila ya aliyeua ana furaha Kuna mauji ukikosa kuua ndio unakosa furaha na amani ila ukiua ndio unakuwa na furaha na amani tele

Kuna staution tatu(3) ambazo naweza kuua mtu na baada ya kuua nikafurahi na amani tele
1) Ukitaka kuondosha uanaume wangu/Manhood (kunirawiti) kwa njia yoyote either chuki/unidharirishe nk nikifanikiwa kupata kipande Cha ubapa/Zuna/Panga nakupelekea makali.

2) Ukitaka kuniua, ukiwa kwenye staution ya kuniua either mwizi umekuja unidhuru uniibie, chuki, migogoro nikikamata kishoka nakupelekea kweli sitanii

3) Ukitaka kuua wakaribi yangu (wazazi, wadogozangu, mke) nikikikamata kipande cha bisibisi napeleka shingoni
Uko sahihi.
Kuna mtu usipomuua kwa aina ya kosa alilofanya, unakosa raha kabsa milele yote.
Hadi Kuna dini zinaamin baadhi ya dhambi hazisafishiki zaidi ya kumwaga damu ya muhusika kama sadaka.
Kuna makosa namna pekee ya kumsamehe mhusika ni kumuua!
 
Kama kosa lipi mkuu
 
Duuuh kenya hiyo????Au kesi walifanyia ulaya kwa wadachi??
Kenya, huyo bilionea alimuoa mkikuyu yeye alikuwa mkubwa sana kuliko huyo mwanamke na biashara zake zilikuwa kenya na alikuwa na utajiri wa dola milion 700. Ila alikuwa ashajua kuwa mwanamama anataka kumuua na utajiri wake mkubwa alimwachia dadake na watoto wake wawili
 
Kwahiyo mpaka leo dadake na wale watoto wawili ndio wamiliki????Hapo kidogo haki imetendeka
 
Back
Top Bottom