Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
- Thread starter
-
- #61
Hii ni sawa kwakuwa kapotea without no reason lakini hebu fikiria , mwanaharakati anathubutu kumtukana Rais wa nchi hadharani,what happensHuo mfano wako una utofauti gan na ikiwa ndugu yangu kapotea hajulikani halipo? Na napoziuliza mamlaka hazinipi majibu..
Na yeye pia ameacha mke na watoto..!
Mkuu mpuuze yeyeAsante kwa kunipuuza..umeona mbali mzee wa kupgania ukombozi wa matumbo yenu.
We endelea kutongoza wake za watu tu…thats were you are good at.Mkuu mpuuze yeye
Siungi mkono hata siku moja mtu anayetumia matusi, lugha chafu, kejeli na mambo mengine yoyote ya kufedhehesha kwa kiongozi wa nchi. tena Rais.Hii ni sawa kwakuwa kapotea without no reason lakini hebu fikiria , mwanaharakati anathubutu kumtukana Rais wa nchi hadharani,what happens
Maisha ni magumu ndiyo lakini tuwe na stara kwenye ukosoaji wetuSiungi mkono hata siku moja mtu anayetumia matusi, lugha chafu, kejeli na mambo mengine yoyote ya kufedhehesha kwa kiongozi wa nchi. tena Rais.
Ila tujiulize kwanin wananchi wamejawa na hasira hivi.?
Nilikuwa nawaza haya mambo..Narudia tena,Leo hii Tundu Lissu yupo mahabusu ila Nina uhakika familia yake haiwezi tetereka,sasa kuna wenxzangu6na Mimi
Kama kuna ukweli mwingi hapaaaaaaaNilikuwa nawaza haya mambo..
TUNDU LISSU, watoto wake na mke wake wapo ubelgiji wanatibiwa saikolojia kwenye mashule mazuri, nani analipa hzo gharama, hatujui..mara unasikia anatunisha tumbo "TUKINUKISHEEE" pumbavu tena pumbavu kabisa!
LEMA; yeye naye kila kitu kipo kanada..mke na familia, anakuja huku tone tone tuzuie uchaguzi{ YAANI TUZUIE NYOKO WA NYOKO}
kwanza serikali inawabembeleza sana na ni kwa sababu ina UTU sana na watanzania wenzao!
KILA ANAYEPOTEA ETI NI SERIKALI: WATU WAMEDHULUMIANA KWENYE MAGENGE YAO NA MADILI YAO ETI NI SERIKALI... KILA KITU NYOKO NYOKO..
Mkoloni mweusiSalaam jamiiAfrica.
Unataka kuwa huru?
Unataka kuwa na Amani?
Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?
Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?
Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.
Acha kuiongelea siasa.
Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,
Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,
Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.
Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.
Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,
Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.
Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.
Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Well saidNilikuwa nawaza haya mambo..
TUNDU LISSU, watoto wake na mke wake wapo ubelgiji wanatibiwa saikolojia kwenye mashule mazuri, nani analipa hzo gharama, hatujui..mara unasikia anatunisha tumbo "TUKINUKISHEEE" pumbavu tena pumbavu kabisa!
LEMA; yeye naye kila kitu kipo kanada..mke na familia, anakuja huku tone tone tuzuie uchaguzi{ YAANI TUZUIE NYOKO WA NYOKO}
kwanza serikali inawabembeleza sana na ni kwa sababu ina UTU sana na watanzania wenzao!
KILA ANAYEPOTEA ETI NI SERIKALI: WATU WAMEDHULUMIANA KWENYE MAGENGE YAO NA MADILI YAO ETI NI SERIKALI... KILA KITU NYOKO NYOKO..
Watanzania ni watu ambao si wafuatiliaji wa mambo, wakiambiwa jambo wanaruka nalo..Siungi mkono hata siku moja mtu anayetumia matusi, lugha chafu, kejeli na mambo mengine yoyote ya kufedhehesha kwa kiongozi wa nchi. tena Rais.
Ila tujiulize kwanin wananchi wamejawa na hasira hivi.?
Mwaka juzi kuna member aliweka uzi hapa akasema Msigwa ni pandikizi la CCM.Wengi wanapigania matumbo yao
Hawajui mkuu wasameheweMwaka juzi kuna member aliweka uzi hapa akasema Msigwa ni pandikizi la CCM.
Makamanda wamllmtukana matusi mpaka ya new model.
Leo hii kiko wapi😁
Hakika.. Hapa huko sahihi na hii ndo maana halisi ya G.TMaisha ni magumu ndiyo lakini tuwe na stara kwenye ukosoaji wetu
We mkoloni mweupe, HAPO ULIPO SASAIVI NI HAKI GANI UMEZUIWA?Mkoloni mweusi
Mshamba anaedhani vitisho vimewahi kuzuia haki au zuri lisitendeke
Mwaka juzi kuna member aliweka uzi hapa akasema Msigwa ni pandikizi la CCM.
Makamanda wamllmtukana matusi mpaka ya new model.
Leo hii kiko wapi