Hakuna jambo nzuri kama kuwa huru, usikubali kuwa Mbuzi wa kafara

Maisha yanahitaji vitu vitatu tu,
Chakula,
Vipi pale ambapo siasa inapoamua ule au usile. Au siasa inaamua ule chakula gani, hata kama hukipendi. Ref: Wananchi wa Geita VS Magufuli.
Usingizi,
Vipi pale siasa inapoamua ulale au usilale, au siasa inakupangia Muda WA kulala, hata kama Muda huo si rafiki kwako kwa kulala. Ref: Rwanda Civil war-1993 au Goma crisis 2025
Vipi pale siasa inapoamua kuingilia mahusiano au ndoa yenu. Najua unajua Masuala ya feminism.

========================
Je, ikitokea Uhuru umeingiliwa mojawapo Kati ya mahitaji yako hayo, utachukua hatua gani?
 
MTU Kama Malcolm X na Martin Luther King Jr unawajua ?

Na unajua Obama ? Bila hao Martin Luther king Jr leo black wa marekani sijui Kama wangepata hata kuwa na Rais

Kila effort ina matokeo usiwacheke hao activist kuwa lockup or jailed or gunned

It will pay off one and Tanzania itakuwa free country
 
Hakuna mahala namcheka mwanaharakati ila nawaasa watoto wa masikini,

Mbowe alikaa mahabusu
Lissu yupo mahabusu,

Nambie Yule asiye na kipato
 
Dunia ikiwa na watu wawili aina Yako, itakua sio sehemu salama kuishi.
 
Hakuna mahala namcheka mwanaharakati ila nawaasa watoto wa masikini,

Mbowe alikaa mahabusu
Lissu yupo mahabusu,

Nambie Yule asiye na kipato

Kwahiyo wewe unapambania kula na kulala

Hauna purpose yoyote ?

Lissu ni extra ordinary people na sio ordinary people tofautisha hayo mambo
 
Kwa hiyo wewe kondoo hujiulizi kwanini huyo aende jela? Kwanini usione umuhimu wa kundoa huo upuuzi badala ya kubinua matako na kulala chini wakufanyie watakavyo?
Maisha ni magumu ndiyo lakini tuwe na stara kwenye ukosoaji wetu
Chawa tu...
 
It's better to live one day as a lion rather than 100 years as a sheep 🐏 🐑 😂
_QUOTE FROM BENITO MUSSOLINI.
 
Naam, kila mtu apambanie maslahi yake tu. Full stop
 
Mkuu mbona wewe hapa unaongelea siasa? Siasa ndio utajiri, ndio raha, ndio maendeleo.
Hii kauli yako ilifanya kazi miaka ya 60 huko.
Fanya leo,weka identity kamili,jitokeze pigania ukombozi wa kweli,hakika utakuwa mmoja wa watu wa shoka
 
Mimi siasa hazihusu, wala hutasikia nalalamika niko busy natafuta pesa kwenye biashara yangu ya maziwa.

Akili za MATAAHIRA.

 
Jaman NETO wapo wapi
 
Nyerere na Karume wangejitenga na siasa, ungekuwa wapi leo?
Usichokijua ni kwamba, siasa inakuamulia hadi bei ya mkate&maisha Yako na uzao wako.
Muhimu tu;
Fanya siasa safi,pinga uovu, tenda haki.
Gwajiboy amepinga uovu wamemshughulikia
 
PHD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…