secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #301
Mwili wako pia unaweza kukusapoti kufanya kitu fulani kwa mfano mtu mwenye misuli anaweza kuwa boxer, mtu mrefu anaweza kuwa mchezaji wa basketball. Wakati mwingine umbile linasaidia ukilitumia vizuri lakini matumizo mazuri ya akili kwenye Kila kitu ndo msingi.Kwahiyo wewe unaamini kama Messi angekuwa ana interest na kufanya mchezo Gymnast au riadha au kuogelea au kulenga shabaha nk nk kwa namna alivyo kwenye soka basi angekuwa na uwezo wa hali ya juu kwenye michezo hiyo kama alionao kwenye soka kwasababu unaamini ni JUHUDI tu imemfikisha hapo?
Kwamba Michael Jackson angezingatia kwa bidii na kuwa Boxer angekuwa na uwezo wa juu kama alivyofanya kwenye muziki?
Kama majibu hapo juu ndio basi utakua SAHIHI
Kama majibu ni hapana basi kila mtu anauwezo wake wa ndani(kipaji) amezaliwa hivyo...... kinachotafutwa ni trigger tu
Mimi naamini kipaji kinadhihirika pale mtu anapo kuja kufanya jambo sahihi kulinga na mazingira yanayo favor uwezo wake wa juu(kipaji)
Unaweza ukawa ni mchoraji mzuri lakini kumbe (ulivyozaliwa)body morphology and other factors zingeweza kukufanya uje kuwa mcheza tenesi mwenye uwezo mkubwa sana lakini mazingira hayakukupa nafasi ya kuujua wala kuucheza mchezo huo
Sioni tatizo la tafsiri
Acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomoHilo ni jibu lakini siyo jawabu.
Mkuu unajichanganya sana.Mkuu kila mtu duniani anakipaji
Ili kipaji kijidhihirishe ni lazima ufanye hilo jambo ambalo unakipaji nacho.... Usipolifanya itabaki HUNA KIPAJI
Sio kama Messi alizaliwa anajua kucheza mpira...... alijifunza na kuupenda mchezo wenyewe na luckily enough ilikua ndio kipaji chake
Kuna zaidi ya mambo milioni moja mtu anaweza kuwa na kipaji nayo...... issue ni kwamba huwezi jua kipaji chako kipo wapi katika hayo labda mazingira yaku favor kuujua hilo jambo
Kwasababu inawezekana wewe hapo unakipaji kikubwa sana cha jambo fulani lakini Bongo unapoishi hilo jambo halipo
Ukiulizwa unakipaji gani utajua?
Same to Messi, angekua Gaza angekua anaona Soka ni haramu
Ndio maana nikasema kipaji ili kijidhihirishe ni lazima mazingira yote yanayo favor kipaji chako yawe sawaMwili wako pia unaweza kukusapoti kufanya kitu fulani kwa mfano mtu mwenye misuli anaweza kuwa boxer, mtu mrefu anaweza kuwa mchezaji wa basketball. Wakati mwingine umbile linasaidia ukilitumia vizuri lakini matumizo mazuri ya akili kwenye Kila kitu ndo msingi.
Je, Messi angekuwa na ulemavu wa miguu angekuwa mchezaji wa mpira wa daraja la juu?
Kuna jamaa mmoja anasema mtu anaweza kuwa na vipaji hata zaidi ya milioni Moja. Sasa si bora aseme mtu akiamua kufanya jambo lolote anafanya.Acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo
Mkuu hebu define neno kipaji kwanza.Ndio maana nikasema kipaji ili kijidhihirishe ni lazima mazingira yote yanayo favor kipaji chako yawe sawa
Kama Messi angekuwa kilema maana yake mazingira yasingeweza tena ku favor kipaji chake ..... Pengine angekuwa mtu anayedhani hana kipaji chochote
Mkuu nime define hapa πππMkuu hebu define neno kipaji kwanza.
Mkuu kwako wewe unatafsiri kipaji ni nini?
Kimsingi hakuna mtu anayezaliwa na kipaji moja kwa moja...... kila mtu anaweza kujifunza jambo na akaweza kulifanya kwa uzuri tu.
Kipaji ni pale namna mtu anavyoweza kuwa na uwezo wa kulifanya hilo jambo baada ya kulijua kulifanya
Mara nyingi watu wenye vipaji huwa wanajipambanua kwa upekee na ubora wao wa kufanya jambo husika
Kuna mambo mengi yana weza kufanya kipaji kikajidhirisha
Wapo ambao maumbo yao, au viungo vyao, au hormoni zao, mazingira/eneo unaloishi au hata JUHUDI zao zinaweza kuwa favor vipaji vyao
Kiufupi kabisa KIPAJI ni uwezo wa KIPEKEE wa ziada wa kufanya jambo dhidi ya wengine
Hayo maswali ulio uliza...... yes kuna watu wana(upekee wa ziada kufanya)
Kuhusu Messi na Bolt..... wangeweza kuwa na kazi zingine tu kama mamilioni ya Wabrazil na wajamaica wengine wanafanya nje ya Riadha na soka
Mwisho Walokole kukariri Bibilia sio VIPAJI mkuu
Hili ndo jibu sahihi.Kimsingi hakuna mtu anayezaliwa na kipaji
ππππHili ndo jibu sahihi.
Sasa tumekubaliana kuwa hakuna mtu anayezaliwa na uwezo wa jambo lolote, tunazaliwa sawa lakini tofauti zetu huanza tukishaanza maisha ya hapo duniani.
Pamoja sana.
Hilo liache sababu linaharibu maanaπππππ
Hapo mbona hujakamilisha sentensi yangu na umeliacha neno βmoja kwa mojaβ πππ
Mkuu read between the linesMkuu unajichanganya sana.
Mtu kama ana vipaji zaidi ya milioni Moja basi hiyo inamaanisha mtu yeyote anaweza kufanya Kila kitu akiamua.
Wewe una vipaji vingapi hapo ulipo.
Babe π₯° naomba unisamehe sana. Mwanaume wako nilipitiwa hata nikasahau kukutag.Ngoja nipite kimya maana hujanitagπ₯²π΅βπ«πββοΈ
Kwanza Asante kwa kuniwekea picha ilyochorwa ya Mama Samiaπ.Mada nzuri sana.
Mtoa mada unawazungumziaje wale watu wanaovumbua vitu ndani ya ujuzi walionao? Mfano...umesema wachezaji wa mpira wamejua kucheza mpira kwa kuwa walikuta mpira ushagunduliwa lkn katika hao wachezaji walivumbua namna ya kufunga magoli kama hatrick n.k jee hao utasema wana kipaji ama vp mana kuna vitu hawajaigiliza bali wamevumbua wao wenyewe
Niliwahi kusoma kwenye gazeti zamani sn kuna mchoraji yeye anachora picha zisizoonekana, yaani hadi utumie
microscope...ni kitu cha kushangaza right! Sasa mtu kama huyu hiki alichonacho sio kipaji kweli? Mana kweli kuchora kakukuta lkn kwa alichokuwa anafanya yeye kakivumbua mwenyewe
Angalia kwa upande wa walimu, unakuta kuna walimu wa somo moja na wapo kwenye field kwa muda unaofanana lkn unakuta mwalimu mmoja anaeleweka sn na wanafunzi kuliko mwengine, jee huyu hatuwezi kusema ana kipaji!?
secretarybird
Una kipaji kikubwa sana cha ubishi. Unaweza ukabishana na redio ikazimikaKuna jamaa mmoja anasema mtu anaweza kuwa na vipaji hata zaidi ya milioni Moja. Sasa si bora aseme mtu akiamua kufanya jambo lolote anafanya.
Hahaha ππ€£πππ€£Una kipaji kikubwa sana cha ubishi. Unaweza ukabishana na redio ikazimika
Kabla hujajiuliza hayo maswali ya kijinga ungeanza kujiuliza kwanini uwezo wa kufikiria unatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingineHabari ya muda Great Thinkers!!
Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.
Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya hivi ili tujikatie tamaa ya kufanya mambo makubwa kama gunduzi za kisayansi na mengine mengi.
Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania (hii ni mara baada ya kugundua kuwa hukuna kipaji duniani)
Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa tayari na uwezo wa kufanya jambo fulani (kipaji), watu wote wanazaliwa sawa lakini namna ya kufikiria ndiyo humfanya moja afanye jambo fulani kwa urahisi kuliko mwingine.
Hebu jiulize haya maswali na uyatafakari kwa kina.
-Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?
-Kuna kipaji cha kula?
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?
Cc Monetary doctor Poor Brain uzuri_hatujuani.
Bye bye π.
Jitihada na uzembe.Kabla hujajiuliza hayo maswali ya kijinga ungeanza kujiuliza kwanini uwezo wa kufikiria unatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine
Kwa kukazia comment yako tena anaenda extra miles katika ufanisi kwa maana ya kwamba may be alifundishwa moja mpaka mbili yeye akaweza kugundua tatu mpaka kumi hicho siyo kipaji?Unachora Rada Kama wezi au unachora Nini ?
Unazungumziaje Jambo ambalo wewe unatumia miaka kumi kulielewa na miaka Saba kulimudu huku Kuna mwenzio anatumia wiki.