Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

Yaaah alifanya hivyo vyote, jamaa ndio inasemekana jitu lenye akili nyingi kuwah kutokea ujue ni hatari sana mtu mkono wa kushoto unachora na wakulia unatandika equation za physics. We kamsome alafu utakuja na majibu
Mto yeyete akijifunza vitu tangu utotoni hlpuwa ni fire mkuu, kama huami mfundishe mtoto wako wa miaka miwili vitu tofauti uone jinsi atakavyokuwa.

Mambo ya subconscious mind hayo mkuu.

#hakuna kipaji katika hii dunia.
 
Kuna wengine wanafanya au wanajaribu mara 10 hadi anapatia wakati mtu mwingine jambo hilo hilo analirudia mara 1000 ili kupata matokea sawa na huyu wa kujaribu mara 10. Hapo huoni kuwa huyu mwenye kujaribu mara 10 ana kipaji?
[/Q
Heshima yako kaka,......usemayo yanawezekana lakini kwangu hiyo kujaribu mara nyingi ndiyo hoja bila kujalisha kiwango Cha hiyo mara nyingi ambapo huwa ni kuanzia mbili
 
Huko kuelewa haraka ndio talent yenyewe, nilichogundua you guys mnachanganya talent na skill.

Let's break it down a bit, Talent is not taught, it's a natural ability to see or do something in a certain way. But skill is something that we have become good at and love doing but have been taught. It's taken hours, days, weeks, months, years to master. It's something that you get better at over time and that you desire to do and master.
Lakini kuzaliwa, wote tunazaliwa sawa bila talent yoyote ile.

Hakuna anaye zaliwa na talent wala skill yoyote ile.
 
Kuna ambao wanelewa kwa haraka mambo ya elimu . Na kuna ambao wanaelewa haraka kwenye ufundi. Na kuna ambao wanaelewa haraka kwenye sanaa na michezo. Hapo ndipo unakuja kujua maana ya kipaji.
Utofauti huu wa uelewa unakuja baada ya wote kuzaliwa na kuanza ku experience mambo.

Lakini wakati wa kuzaliwa wote tunazaliwa sawa bila kipaji chochote kile.
 
Lakini kuzaliwa, wote tunazaliwa sawa bila talent yoyote ile.

Hakuna anaye zaliwa na talent wala skill yoyote ile.
Labda tutumie njia nyengine ya kueleweshana;

Group la kwanza.
Tumchukulie mtu kama mchoraji, huyu mtu automatically anaweza kuchora kitu chochote kwa kukiangalia tu kwenye mazingira yake tena bila ya msaada wa mtu yeyote yule.

Kuna mwengine yeye hawezi kuchora ila ana sauti na melody nzuri ambayo yeye mwenyewe hajui imetokea wapi yaani anajikuta tu anaweza mpaka watu wengine wanamsifia ingawa yeye binafsi anaona ni kawaida.

Kuna mtu mwengine pia yeye hana hivyo vyote sio kuchora wala melody ila kuna kitu chake ambacho naturally anacho na bila kujua uwezo huo umetokea wapi.

Group la pili.
Kuna hawa sasa ambao wao hawajui kuchora lakini kupitia kupenda kuchora anajikuta anafanya mazoezi ya mara kwa mara na kuangalia kupitia watu wengine na kuna wengine wanapitia mpaka madarasani kabisa,

Hawa nao mwisho wa siku wanakuwa wachoraji wakubwa tu na wazuri.

Naomba dadavua hii scenario then niambie ma-group haya mawili yanafanana? na ni upi utofauti wao?

Huo utoafauti utakaoupata ndio talent yenyewe.
 
Kujua kitu lazima ukifanyie mazoezi huwezi kujua hivihivi automatically bila jitihada zozote zile.

Kwa hiyo hata kuchora au kuimba kila mtu hufanya mazoezi.

Na baada ya hapo ndio kuna ambao hufanya kwa kiwango cha juu zaidi, wengine kiwango cha kati na wengine kiwango kidogo.
 
Kujua kitu lazima ukifanyie mazoezi huwezi kujua hivihivi automatically bila jitihada zozote zile.

Kwa hiyo hata kuchora au kuimba kila mtu hufanya mazoezi.

Na baada ya hapo ndio kuna ambao hufanyika kwa kiwango cha juu zaidi, wengine kiwango cha kati na mengine kiwango kidogo.
Hapo kwenye kufanyia jambo mazoezi mara kwa mara ndio tunapata Skill/ujuzi.

Ila kabla ya hapo kuna aliekuwa na huo uelewa au muongozo wa hilo jambo ambalo hata yeye binafsi hajui kajuaje.

Mwenye talent haraf akafanya jitihada za mara kwa mara ya hilo jambo inamaana anaongeza ujuzi/skill ila ambaye hana talent ya jambo hilo yeye ndio anakuwa anaanza moja na mwishowe atakuwa na Skill/ujuzi peke yake.

Mwisho wa siku hao wote wawili wanakuwa bora ingawa kuna sehemu ndogo watapishana.
 
Hakuna anayejua kitu bila kujifunza.

Huwezi kujua usichokijua.

Hakuna anayezaliwa anajua.

Hakuna anayezaliwa na ufahamu au uelewa wa jambo lolote lile.

Wote tunazaliwa sawa bila kipaji, ufahamu wala uelewa wowote ule.

Katika kujifunza mambo kwenye mazingira ndio utofauti huanzia hapo. Wala si kipaji cha kuzaliwa.
 
Sawa mkubwa.
 
NAUNGA MKONO HOJA . Wao huweka kikwazo cha kipaji ili kuwabeba wanao wataka na kuwaacha wasio wataka mfano HARMONIZE na BSS ukilinganisha na waliotoboa BSS. Fikiri pia kama kuna vipaji mbalimbali kwanini wengine hujifunza kufanya vitu hivo mfano kuimba, kuigiza na mpira wa miguu kisha hufanya kwa ufasaha katika hali ya kushindana na walisifiwa kuwa na vipaji?
 
Labda tutumie njia nyengine ya kueleweshana;

Group la kwanza.
Tumchukulie mtu kama mchoraji, huyu mtu automatically anaweza kuchora kitu chochote kwa kukiangalia tu kwenye mazingira yake tena bila ya msaada wa mtu yeyote yule.

Kuna mwengine yeye hawezi kuchora ila ana sauti na melody nzuri ambayo yeye mwenyewe hajui imetokea wapi yaani anajikuta tu anaweza mpaka watu wengine wanamsifia ingawa yeye binafsi anaona ni kawaida.

Kuna mtu mwengine pia yeye hana hivyo vyote sio kuchora wala melody ila kuna kitu chake ambacho naturally anacho na bila kujua uwezo huo umetokea wapi.

Group la pili.
Kuna hawa sasa ambao wao hawajui kuchora lakini kupitia kupenda kuchora anajikuta anafanya mazoezi ya mara kwa mara na kuangalia kupitia watu wengine na kuna wengine wanapitia mpaka madarasani kabisa,

Hawa nao mwisho wa siku wanakuwa wachoraji wakubwa tu na wazuri.

Naomba dadavua hii scenario then niambie ma-group haya mawili yanafanana? na ni upi utofauti wao?

Huo utoafauti utakaoupata ndio talent yenyewe.
Hao uliwaweka kwenye group la kwanza hawapendi kufanya hivyo vitu ulivyosema wanaweza kuvifanya?
 
Hapo kwenye kufanyia jambo mazoezi mara kwa mara ndio tunapata Skill/ujuzi.

Ila kabla ya hapo kuna aliekuwa na huo uelewa au muongozo wa hilo jambo ambalo hata yeye binafsi hajui kajuaje.

Mwenye talent haraf akafanya jitihada za mara kwa mara ya hilo jambo inamaana anaongeza ujuzi/skill ila ambaye hana talent ya jambo hilo yeye ndio anakuwa anaanza moja na mwishowe atakuwa na Skill/ujuzi peke yake.

Mwisho wa siku hao wote wawili wanakuwa bora ingawa kuna sehemu ndogo watapishana.
Yaani tunatofautina katika ufnyaji wa mambo kwa sababu hata tunatofautiana fikra.

Kwa mfano Kila mtu ana akili lakini tunatofautiana katika namna ya kutumia akili kwa sababu ya combinations of factors kama vile mazingira uliyozaliwa, malezi na factors zingine.
 
Hakuna anayejua kitu bila kujifunza.

Huwezi kujua usichokijua.

Hakuna anayezaliwa anajua.

Hakuna anayezaliwa na ufahamu au uelewa wa jambo lolote lile.

Wote tunazaliwa sawa bila kipaji, ufahamu wala uelewa wowote ule.

Katika kujifunza mambo kwenye mazingira ndio utofauti huanzia hapo. Wala si kipaji cha kuzaliwa.
Fact
 
NAUNGA MKONO HOJA . Wao huweka kikwazo cha kipaji ili kuwabeba wanao wataka na kuwaacha wasio wataka mfano HARMONIZE na BSS ukilinganisha na waliotoboa BSS. Fikiri pia kama kuna vipaji mbalimbali kwanini wengine hujifunza kufanya vitu hivo mfano kuimba, kuigiza na mpira wa miguu kisha hufanya kwa ufasaha katika hali ya kushindana na walisifiwa kuwa na vipaji?
NAUNGA MKONO HOJA . Wao huweka kikwazo cha kipaji ili kuwabeba wanao wataka na kuwaacha wasio wataka mfano HARMONIZE na BSS ukilinganisha na waliotoboa BSS. Fikiri pia kama kuna vipaji mbalimbali kwanini wengine hujifunza kufanya vitu hivo mfano kuimba, kuigiza na mpira wa miguu kisha hufanya kwa ufasaha katika hali ya kushindana na walisifiwa kuwa na vipaji?
Mkuu hicho kitu ni kweli. Mimi nilikuwa na wauliza Hawa jamaa wanaodai kuwa Kuna kipaji kuwa Kama Messi na Neymar wote wana vipaji/wamezaliwa na uwezo wa kucheza mpira kwa nini wanacheza kwa namna tofauti? Yaani kwa nini mitindo yao ya uchezaji haifanani kama kweli mpira walizaliwa nao?

Kwa nini hawana uniformity katika utendaji wa kile wanachokifanya kama kweli walizaliwa nacho?
 
Ninachoendelea kuikataa ni kuwa hakuna mtu anayezaliwa na uwezo wa kufanya kitu.

Tunakuja duniani then tunaanza safari mpya.

Narudia tena kukuuliza hili swali:- Je, kama Messi na Neymar wote walizaliwa wakiwa na vipaji/uwezo wa kucheza mpira kwa nini namna yao ya uchezaji inatofautiana?/Kwa nini hakuna uniformity katika utendaji wa kile walichotoka nacho tumboni mwa mama zao?
Mkuu kwanza tambua kwamba watu hatufanani na hatutofana,mungu katuumba hivyo ili tutambuane,hata mapacha walozaliwa toka mfuko mmoja,wanaweza fanana sura lkn tabia ni tofauti, ndivyo ilivyo.
Hivyo hivyo Messi na Neymar hawawezi fanana kwa tabia na hata uchezaji mpira,,we jiulize pia aliyeanzisha huo mpira alianzaje bila kipaji kuhusika?,we una kisa gani na neno kipaji!?, Mtoto akiwa tumboni anakuwa tayari anakipaji fulani,lkn kwakuwa bado yuko tumboni uwezi jua kwa kuwa ujamuona physically,kwa mtaalamu ndo anaweza mjua hasa kuanzia miaka 3 nakuendelea,.
 
Mkuu hicho kitu ni kweli. Mimi nilikuwa na wauliza Hawa jamaa wanaodai kuwa Kuna kipaji kuwa Kama Messi na Neymar wote wana vipaji/wamezaliwa na uwezo wa kucheza mpira kwa nini wanacheza kwa namna tofauti? Yaani kwa nini mitindo yao ya uchezaji haifanani kama kweli mpira walizaliwa nao?

Kwa nini hawana uniformity katika utendaji wa kile wanachokifanya kama kweli walizaliwa nacho?
Sema wewe jamaa mbishi hatari... kwamba hapo ulipo unaamini unaweza kufanya kila kitu ambacho mtu mwingine anafanya? Kama jibu ni hapana basi tambua kuna kitu kinaitwa Talent na ni halisi...unasema wewe ni mchoraji, nakuambia hivi kuna michoro imechorwa kwenye dunia hii ukaambiwa uirudie kwa kuiangalia mara moja tu hutoweza .. Kipaji kinaendana pia na akili ya mtu, kadri IQ yako inavyokuwa kubwa ndio uwezo wako juu ya kipaji flani unavyokuwa mkubwa kuzidi wengine ...kipaji ni karama..ni ule upeo wa kuona vitu na kuvifanya kwa namna ya tofauti ndio maana kwenye dunia jii kuna utofauti mkubwa wa binadamu na binadamu mwenzake ... ukisema hakuna kipaji maana yake unamaanisha asili sio halisi.
 
Back
Top Bottom