Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Ni mtazamo wako lakini uhalisia hauko hivyo.Hongera kwa kuikubali kuwa hakuna kitu kiitwacho kipaji.
Ni mtazamo wako lakini uhalisia hauko hivyo.Hongera kwa kuikubali kuwa hakuna kitu kiitwacho kipaji.
Naomba twende swali kwa swali ili tuelewane then kama kuna umuhimu wa kuelezea nitaelezea.Haya tuseme Messi na Neymar wote wana kipaji cha kucheza mpira wa miguu, swali ni je kwanini wanacheza kwa styles tofauti tofauti wakati walitoka tumboni mwa mama zao wakiwa tayari na uwezo huo wa kusakata kabumbu?
Kwa nini miondoko yao haifanani?
Pia wanafunzi unaowaita wana vipaji darasani wote wanapata alama (marks) zianzofanana? Kama hazifanani sababu nini wakati wote wana vipaji vya elimu.
Nakutakia utafutaji mwema wa majibu ya hayo maswali😎.
UkojeNi mtazamo wako lakini uhalisia hauko hivyo.
Mimi naamini hakuna kitu kinachoitwa kipaji, kwa lugha rahisi ni kwamba hakuna mtu anayezaliwa akiwa na uwezo wa kufanya kitu fulani.Naomba twende swali kwa swali ili tuelewane then kama kuna umuhimu wa kuelezea nitaelezea.
Unajuaje kama mtu huyu anakipaji na huyu ana ujuzi au vyote kwa pamoja?
Kwa hiyo Messi anafanya mazoezi kama Ronaldo ? 😅 😅 😅 😅Utimamu wa afya ya akili na hata ukakamavu wa mwili huimarishwa na mazoezi, usijidanganye kwa vyanzo uchwara ambavyo hata mimi naweza kuviandika na kuvituma hapa mitandaoni.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is the.
Kama kweli ana kipaji asifanye kabisa mazoezi acheza halafu tuone maana mnasema kazaliwa na mpira.Kwa hiyo Messi anafanya mazoezi kama Ronaldo ? 😅 😅 😅 😅
uwezo wa asili ambao mtu anazaliwa nao huenda kazaliwa na sauti nzuri,miguu myepesi ya kisoka, miguu yenye kasi, akili yenye uwezo mkubwa, ushupavu wa mwili, ni vitu ambavyo anaviweza kiasili kwasababu amezaliwa na uwezo huo "kipaji", lakini mtu asie na uwezo mkubwa atatumia jitihada kubwa kujifunza na hata akijua hatafikia uwezo wa mwenye kipaji.Ukoje
We umeshinda bwana wazungu wana msemo "an old dog can't learn new tricks. " Kipaji ni urahisi was mtu kufanya kitu fulani.Kama kweli ana kipaji asifanye kabisa mazoezi acheza halafu tuone maana mnasema kazaliwa na mpira.
Vizuri, Je unaamini kwenye skill/ujuzi?Mimi naamini hakuna kitu kinachoitwa kipaji, kwa lugha rahisi ni kwamba hakuna mtu anayezaliwa akiwa na uwezo wa kufanya kitu fulani.
Huyu sio kipaji ila IQ yake Iko mbele zaid ya wengine uwezo wake wa ubongo uko vizur miaka ya nyuma UDSm ilikua na hao wanafunzi wengi Kuna mmoja badala awe mwanafunzi wakamfanya lecture ila Ile Hali ilimfanya awe kama chizi baadaye alifarikiKipaji kipo ni kutafuta, Messi hafanyi mazoezi kama Ronaldo ila ni mzuri kisoka. Mimi nilisoma na jamaa alikuwa anasolve maswali kwa kufikiria na kupata majibu. Alikuwa haandiki notes na anafaulu darasani. Matokeo ya form four na form six alikuwa top 3 ya Tanzania. UD kamaliza Chemical Engineering akiwa na GPA kubwa(Alikuwa mwanafunzi bora UDSM). Leo hii jamaa ni professor Norway. Huyu jamaa alikuwa hatumii nguvu nyingi kwenye kusoma. Yaani ukimpa swali jipya anakaa anafikiria ana-solve na analipata.
Ni kweli ilaaani mtu anatoka tumboni akiwa na uwezo fulani tofauti na watu waliptoka tumboni kama yeye.
Kuna mahali nimeelezea uhusiano wa kulinganisha ufanyaji wa mazoezi baina ya CR 7 na Messi? Tuongee logically bali si kwa yale tupendayo kuyasikia sisi tu.Kwa hiyo Messi anafanya mazoezi kama Ronaldo ? 😅 😅 😅 😅
Jaribu uwaulize wanajiskiaje ?Nchi zetu za dunia ya 3 nyingi sana hazikujikita katika kuendeleza vipaumbele vyao ikapelekea Watoto hao kupoteza vipaji vyao na kufanya vitu vingine kabisa kimaisha ila wakafanikiwa kuvitendea haki kwa ubora wa hali ya juu sana kuliko hata wao wenyewe walivyokuwa wanategemea.
Je Wana vipaji tokana na vitu wanavyofanyia majukumu hivi sasa wakiwa wakubwa tofauti na walivyokuwa wanavipenda wangali wadogo ila hawakuvifanya hadi ukubwani tokana na changamoto za fedha?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hapo umetaja viungo vya mwili ambavo vinaweza kumsapoti mtu kufanya jambo fulani kwa urahisi.uwezo wa asili ambao mtu anazaliwa nao huenda kazaliwa na sauti nzuri,miguu myepesi ya kisoka, miguu yenye kasi, akili yenye uwezo mkubwa, ushupavu wa mwili, ni vitu ambavyo anaviweza kiasili kwasababu amezaliwa na uwezo huo "kipaji", lakini mtu asie na uwezo mkubwa atatumia jitihada kubwa kujifunza na hata akijua hatafikia uwezo wa mwenye kipaji.
Mwenye kipaji anafanya kwa wepesi, asie na kipaji atatumia jitihada kubwa.
Hapana. Mmeshasema mtu mwenye kipaji hahitaji mazoezi bali hutoka na uwezo tumboni mwa mama yake na ku perform better.We umeshinda bwana wazungu wana msemo "an old dog can't learn new tricks. " Kipaji ni urahisi was mtu kufanya kitu fulani.
Kwahio mkuu unaunda mfano ambao mtu hana miguu then unataka nijibu kwamba anakipaji kinachotumia miguu, ndio anaweza kuzaliwa ana kipaji cha mpira lakini hatutajua hilo sababu ana ulemavu wa miguu.Hapo umetaja viungo vya mwili ambavo vinaweza kumsapoti mtu kufanya jambo fulani kwa urahisi.
Haya mtu mwenye ulemavu miguu wa kuzaliwa nao anaweza kuwa na kipaji cha mpira/anaweza kuzaliwa na uwezo wa kucheza mpira?
Mimi naamini kwenye jitihada na kufanya jambo kwa kutumia combination ya akili na viungo vya mwili.Vizuri, Je unaamini kwenye skill/ujuzi?
Hahaha 😂Ni kweli ila
Hakuna zezeta hata mashuleni ila Kuna watu wanaelewa kwa Kasi ya Ajabu jambo/ someone fulani kana kwamba wamezaliwa nalo.
Intelijensia na saikolojia inaleta utofauti katika utendaji was mtu na mtu kupishana, kufungamana na kukaribiana.
Zile hatua nilizokuuliza mwanzo zitarejea Tena huku.
Aise we unanifurahisha sana.Kwahio mkuu unaunda mfano ambao mtu hana miguu then unataka nijibu kwamba anakipaji kinachotumia miguu, ndio anaweza kuzaliwa ana kipaji cha mpira lakini hatutajua hilo sababu ana ulemavu wa miguu.