Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Hakuna kitu kiitwacho kipaji, ndiyomaana Watu hao hao waliogundua kitu flani ukiwakalisha pamoja na kuendelea kuwapatia elimu na maarifa lazima atapatikana miongoni mwao ambaye atagundua kitu kupitia hicho hicho walichokuwa wanajifunza, kitakuwa bora zaidi au hata kuleta maana zaidi kuliko hata yeye aliyegundua kitu cha awali.Kipawa -Jinias - Hali ya juu ya utendaji.....Hapa ndipo yanapozaliwa madaraja na ukuu wa Watu.
Kasome post yangu ya pili kumjibu mleta mada Kuna jibu lako pale.
Utaalamu wa kutenda mambo fulani yaani kuliona Jambo ktk vipande vyake vyote kabla hujalifikia kilaza wa field hiyo atabakia kushangazwa tu.
Mfano; aliyegundua computer alifanya vizuri, ila aliyekuja kugundua AI Robots amefanya vizuri zaidi sababu hufanya vitu vingi kwa pamoja, kwa ufanisi na uharaka zaidi kama matibabu na kukuza uchumi.
Je kati yao wote wana vipaji au hawana vipaji, ni kwanini wawe na vipaji na wasiwe na jitihada na imani binafsi zilizopelekea kupata ubunifu na maarifa hayo?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.