Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

Hahaha 😂
 
Na mtu anazaliwa kabisa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya jambo/ kitu fulani? Huu ni uwongo wa kiwango cha standard gauge.
 
Hoja yangu ni kuwa watu wanazaliwa wakiwa wanafanana yaani hakuna mtu anayezaliwa akiwa na uwezo wa kufanya kitu fulani.
Sio kweli kila mtu ana Atlanta yake
Ni kugundua na kuendeleza
Tuko tofauti
Kwenye mziki Kuna waimbaji wengi ila tuzi anachukua labda diamond
Kwenye football ku milion of footballers ila Huwa anachukua tuzo Mesi
Unakuta darasa Lina wanafunzi 200 kila anaongoza John
 
Una kitu mkuu! Usikilizwe.
Eti mkuu tumeaminishwa kuwa mtu amezalowa akiwa na uwezo wa kuendesha gari wakati gari lenyewe linegunduliwa juzi tu.

Inamaana gari lisingegunduliwa huyo mtu huo uwezo angeutumia kwenye nini?

Wazungu wanatuchezea sana akili aise.
 

 
Je, kipawa ni nini? Au kipaji ni nini?

Kipaji ni uwezo wa asili wa kutenda mambo makubwa na yenye matokeo bora kwa kutumia nguvu na rasilimali ndogo ukilinganisha na watu wengine.
 
Yeye amekuwa vizuri kwenye kuchora kwa sababu hicho ndicho anachokifikiria zaidi katika ubongo wake.

Vivyo hivyo mtu anayefikiria zaidi kujamiiana atakuwa mtundu katika mchezo huo.
Mpaka anafanya gunduzi mbali mbali kwenye mizagamuo vumbuzi EVER kutokea.

Vumbuzi adimu ever za minyanduo ni kipaji Cha watanzania ukiacha usimba na uyanga.
 
Je, kwa nini Brazil na bara la Amarika kwa ujumla lina wachezaji wanye uwezo wa kuuchezea mpira kuliko bara la Afrika na Asia.

Pia kwa nini India na China hawana wachezaji wakubwa wa mpira au watu wenye vipaji hivyo hawazaliwi kule?

Naomba jibu langu.
 
Umechelewa kujua Mkuu, binafsi naamini katika kujaribu/ kufanya mara nyingi hence unakua expert
Kuna wengine wanafanya au wanajaribu mara 10 hadi anapatia wakati mtu mwingine jambo hilo hilo analirudia mara 1000 ili kupata matokea sawa na huyu wa kujaribu mara 10. Hapo huoni kuwa huyu mwenye kujaribu mara 10 ana kipaji?
 
Mpaka anafanya gunduzi mbali mbali kwenye mizagamuo vumbuzi EVER kutokea.

Vumbuzi adimu ever za minyanduo ni kipaji Cha watanzania ukiacha usimba na uyanga.
Mkuu China pamoja na India pamoja na idadi kubwa ya watu wao hawajawahi kuwa na mchezaji mzuri wa mpira wa miguu. Au watu wenye vipaji vya mpira hawazaliwi kwao?
 
Kuna wengine wanafanya au wanajaribu mara 10 hadi anapatia wakati mtu mwingine jambo hilo hilo analirudia mara 1000 ili kupata matokea sawa na huyu wa kujaribu mara 10. Hapo huoni kuwa huyu mwenye kujaribu mara 10 ana kipaji?
Sasa kama aliziliwa na uwezo huo ambao mnauita kipaji kwa nini arudie mara kumi. Mara Moja ingetosha.

Ukiona amerudia hata mara mbili basi ujue ameweka jitahada hata kama siyo kubwa.
 
Je, kipawa ni nini? Au kipaji ni nini?

Kipaji ni uwezo wa asili wa kutenda mambo makubwa na yenye matokeo bora kwa kutumia nguvu na rasilimali ndogo ukilinganisha na watu wengine.
Usiposhughulisha akili lazima utatumia jitihada kubwa kwenye Kila kitu.

Kushughulisha ubongo ndo mpango mzima katika kurahisisha mambo.
 
Hiyo hutokea tu
Brazil Kuna vipaji vya mpira
India ni watu dhaifu miwili Yao haina minguvu utawakuta kwenye taaluma au uigizaji
 
Uko sahihi kabisa, hakuna binadamu yuko zaidi ya mwenzake in the beginning.Tunaingia duniani tukiwa pure, kinachotutofautisha ni after birth:
Wazazi wetu, jamii zetu, ndugu zetu, mazingira tunamoishi, watu tunaokutana nao, maneno tunayoambiwa na kusikia, Will power n.k vinatufanya tuwe tofauti
 
Lakini Aziz K hawezi kuwa bora kuliko messi na wote wanafanya mazoezi wote wanaufikiria mpira
kipaji ni kipaji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…