Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

Hayo ndo malipo ya hapa hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23]

Mtoa mada anayaonja maumivu mapema kabisa ..
Yani Dada kuzalia nyumbani zaidi ya mmoja ukute na uwezo pia ni mdogoo nyiee Unaweza kuwa mwanaume ila Ukachukia sana wanaume wenzako lakini Msimamo wetu ni ule ule Kataa ndoa[emoji1787][emoji1787]
 
Aiseee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio ujuwe humu kuna vijana wakikwambia pita kushoto basi wewe nenda kulia wote utawakuta wapo huko.
 
Sahizi mtoto anaagiza takeaway tu za SeleBonge 🤣🤣🤣
 
Ni tukio la ghafla kama chafya 🤣🤣🤣
 
Huko umeenda mbali sana kifupi ipo hivi mwanmke usiwe mrahisi kwa mwanaume hovyohovyo.

yaaaani unataniwa tu teyari umelegea sasa hapo utaolewa na nani tutapita tu na kukuacha kama ulivyo.

kingine muheshimu sana wanaume hakuna mwanaume anayetaka dharau kutoka mwanamke(hili ni anguko lenu kubwa sana maana mnatabia ya kuwaheshimu wenye magari tu kumbe hajui waoaji ni haohao wasio na kitu)
 
Si walipenda magari, watuloe dawa iaaingie. Mwanamke anaweza ku date na mwanaume ambae anajua kabia kaoa, ila kabinti kamekomaa nae tu kisa ka carina TI. Tukiwatokea sisi amabao hatujaoa na hatujafanikiwa kwa lengo la kufanya nao maisha wanaringa. Hawajui hao wenye magari wapo wanawake waliowavulia wakati hawana kitu ndio wamewaweka nyumbani.

Tulieni dawa iwaingie
 
Dada yako mkubwa ndiye aliharibu njia. Wadogo wakaona kumbe ni vyakawaida tuu kuzalia nyumbani.
 
Hizo ni myth believes
 
Nakazia hapa
 
Karma is real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…