Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

"Siku hizi nilishaachaga ujinga wa kumshauri mtu mzima mwenzangu. Mambo yake binafsi atayabeba mwenyewe."

[emoji115]
Pole kwa kuchelewa kujua mkuu. Karibu!.
 
Kwa miaka ya Sasa nikawaida Sana kuzalia nyumban chamsingi mshukru Mungu kwa kila jambo maana na ndoa nazo siku hz watu wanakaa miezi 6 tu tayari💔
 
Easy man! Pambana lea wajomba zako ayo mambo uwezi jua sirini kulitokea nini.

Wanawake wanazingua ujui tu.
 
Ni sahihi, hayo majibu huwa wanayatoa sana bila kufikiria kesho mambo yatakuwaje, mambo yakiharibika ndio anajikuta akili inamrudi na kuanza kujutia huku aliyemshauri hana lawana na hana muda naye tena.

Tuwashauri ili tuepukane na lawana za baadae
 
Katibu wa chama cha wakataa ndoa kauli mbiu yao ni kuzalisha wanawake na kuwatelekeza
 
Watu wa Bukoba wanapenda sana mpini wakitongozwa hawawez kukataa.
 
Ni sahihi, hayo majibu huwa wanayatoa sana bila kufikiria kesho mambo yatakuwaje, mambo yakiharibika ndio anajikuta akili inamrudi na kuanza kujutia huku aliyemshauri hana lawana na hana muda naye tena.

Tuwashauri ili tuepukane na lawana za baadae
Yakishampata ataanza kulaum ooh duniani watu wanafiki, hakuna rafiki wa kweli anaona kama kila mtu anamtenga😅
 
hao jamaa si watakuwa wanachama wenzio wa kampeni ya kataa ndoa?
 
Ukiona una m cheat Mungu, aah bas tena we andika umeumia,.
Okoka ndugu, na waambie nao waokoke maana hawako salama,
Okoka kweli kweli maana Kuna walio okoka bandia nao Wana jazwa na kujaza mimba,
 
Si wakubwa mmekubaliana kukataa ndoa?
 
Kwani wewe umeoa/kuolewa? Ulitumia mbinu gani? La msingi haukubakwa. Waliridhia wenyewe baada ya kuzuzuliwa na magari. Waache walee watoto wao wakimaliza kulea wachukuliwe tena na magari kwenda guest kuzalishwa watoto wengine.
 
Naomba namba ya yule ambaye mwanae kashakua kua kidogo ili nifanye naye utafiti kwa nini anadungwa sindano na kila Serengeti boy
 
Habari njema sana hii na haitakiwi waolewe mpaka uzeeni we toa matumizi kwa kina anko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…