Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #81
Hizi ni imani zilizotokana na ujinga. Mjinga asipoelewa kitu anasingizia uchawi. Zamani magonjwa yote yalihusishwa na uchawi. Hata wazungu walikuwa hivyo nyakati za gizq.Bagamoyo ni wachawi we dada acha afu kule sio mpaka uwachokoze
Wanakuchezea tu tofaut na wafipa mpaka umchokoze
Kwakuwa huamini uchawi sawaNi kama conditions hapo juu au ulipitiwa na allergic reactions. Uliona damu zilizotokana na kuchanjwa?
Hapana sio kweli.Kwakuwa huamini uchawi sawa
Ila njoo nikupeleke namanyele ukaone ukaone radi za kutengeneza 2000 tu
Ntakuonesha katoto kashule katandike makofi tu uone siku ya pili itakwaje
Biblia yenyewe imekir uchawi
Dahhh!!kuna watu wanalala bila kukung’uta kitanda?? Au unazungumzia mbuzi ng’ombe?Habari za watu kuchanjwa na wachawi usiku zinaaminika sana nchi hii. Lakini ukweli ni kuwa hakuna wachawi wa kuchanja watu chale. Zile Inazoitwa chale za wachawi huwa ni matokeo ya kukwaruzwa na mchanga usiku baada ya kulalia kitanda kichafu.
Mchanga ni mgumu na una ncha kali kama za wembe, na pengine zaidi. Glasi zenyewe hutengenezwa kutokana na mchanga. Na hata kazi kubwa ya screwnprotectors za simu ni kuzuia kioo kisikwaruzwe na mchanga.
Sasa mtu akilalia kitanda kichafu, chenye mchanga. Katika kujigeuzageuza usiku lazima "umchale." Asubuhi akiamka bila kuelewa kilichotokea, anasingizia wachawi.
YEYE MWENYEWE NDIO MCHAWIWachawi wamesikia, jiandae kuchanjwa usiku huu. Nadhani ukicharazwa utaamini.
CHAWI HILO, LINAJARIBU KUPOTEZA MABOYAUnaonekana huna anachojua kwenye utamaduni unaoitwa uchawi, usiongelee vitu usivyo vijua Wala kuvielewa
Tulia wewe hujui wachawiHabari za watu kuchanjwa na wachawi usiku zinaaminika sana nchi hii. Lakini ukweli ni kuwa hakuna wachawi wa kuchanja watu chale. Zile Inazoitwa chale za wachawi huwa ni matokeo ya kukwaruzwa na mchanga usiku baada ya kulalia kitanda kichafu.
Mchanga ni mgumu na una ncha kali kama za wembe, na pengine zaidi. Glasi zenyewe hutengenezwa kutokana na mchanga. Na hata kazi kubwa ya screwnprotectors za simu ni kuzuia kioo kisikwaruzwe na mchanga.
Sasa mtu akilalia kitanda kichafu, chenye mchanga. Katika kujigeuzageuza usiku lazima "umchale." Asubuhi akiamka bila kuelewa kilichotokea, anasingizia wachawi.
Halafu watu wanaaminigi ni bibi tu ndiyo wachawi. Hata waua wachawi huua wanawake kwa zaidi ya 90% Haya ni mazao ya ujinga.
Ukikua utaelewaCHAWI HILO, LINAJARIBU KUPOTEZA MABOYA
Zaidi ya hovyoooHovyoo
Hiyo yote ni mikwaruzo bro, ndio nikasema hujui kuchanjwa maana yake nini. Hiyo mifano yako yote ni mikwaruso aidha umelala vibaya au umelalia vitu.Hamna anayechanjwa na wachawi. Hiyo inaitwa dermatographia, yaani ni kama mtu anaandika kwenye ngozi hivyo kunakuwa na pattern kabisa. Hao wanaodai kuchanjwa waliona hata damu kwenye mashuka? Au watadai wachawi waliokuja na ungo wameondoka nayo? Kifupi ni kuwa ujinga ndiyo unatufanya tuamini mambo haya.
Mtz akiona hivi asubuhi atasema wachawi walikuja wakamchanja.
Hao wa hivyo, wa hadi damu inatoka wanakuwa wameenda kuchanjwa na waganga matapeli. Wanashindwa kusema ndiyo maana husingizia kuchanjwa na wachawi usiku. Wengi hua ni hizo conditions nimeweka.Hiyo yote ni mikwaruzo bro, ndio nikasema hujui kuchanjwa maana yake nini. Hiyo mifano yako yote ni mikwaruso aidha umelala vibaya au umelalia vitu.
Kuchanjwa ni deep skin cutting two or three dots... in a systematic pattern.
Ukisikia kuchanjwa ni kama hivi Google-Ergebnis für https://cdn.punchng.com/wp-content/uploads/2016/11/25125728/Tribal-Mark.jpg
Ndio nakuambia tema nate chini, kisikukute. Unachnjwa mwili mzima nyumbani kwako, wala sio kwa mganga wala nini.Hao wa hivyo, wa hadi damu inatoka wanakuwa wameenda kuchanjwa na waganga matapeli. Wanashindwa kusema ndiyo maana husingizia kuchanjwa na wachawi usiku. Wengi hua ni hizo conditions nimeweka.
Wa kuchanja hivyo hamna. Ujinga ndiyo hufanya watu waamini habari kama hizo.Ndio nakuambia tema nate chini, kisikukute. Unachnjwa mwili mzima nyumbani kwako, wala sio kwa mganga wala nini.
Unaamka asubuhi unapooga ndio unaanza sikia maumivu ukiangalia chale. Mgongoni kifuani mikononi etc.
Kama hujakutana nalo usiseme halipo
Ufu 22:15Hapana sio kweli.
Biblia haikiri hata chembe huu uchawi wa dhana ya kiafrika kama ulioelezea hapa, uchawi wa kutengeneza radi, kuchanjwa na nyembe usiku nk. Ni moja ya makosa yalioingia ktk biblia ya kiswahili toka kwa watafsiri wa mwanzo kuja lugha yetu ya kiswahili
Titus Amigu: Maneno uchawi au mchawi kwa dhana za Kiafrika hayastahili kuwamo kwenye Biblia
Dhana ya kupinga kinachoitwa Uchawi au Ushirikina, amekiandika kwenye kitabu chake kinaitwa 'Jinsi ya kuushinda Ulimwengu'. Nlikisoma miaka 13 iliyopita. Ishakuwa kitambo ila nakumbuka vizuri allivyoandika kwenye kitabu chake. wakati huo pia nilisoma kitabu chake kingine kinaitwa ' Maswali...www.jamiiforums.com