Hakuna mchezaji wa Simba anayeingia kikosi cha kwanza Yanga

Ni kweli hakuna mchezaji wa simba anaeweza kuacha kucheza mashindano ya kimataifa aende Yanga akacheze ndondocup
Simba hakuna mjinga wa hivyo. Yaani Mchezaji aache kwenda Misri aende Tabora? Never.
 
Ni kweli hakuna mchezaji wa simba anaeweza kuacha kucheza mashindano ya kimataifa aende Yanga akacheze ndondocup
Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa mashindano ya akina mama
 
Mpira wa namba ulikwisha
Huyo ni kiungo mkabaji wanaweza waanze wawili
Wakati unaandika kuwa wote wanacheza namba 6 ulikuwa bado hufahamu kuwa mpira wa namba umekwisha?Majukumu ya Aucho pale Yanga yanafanana na ya Kagoma, Ngoma na Mudathir wana majukumu yanayofanana,Aucho si Kiungo Mkabaji kiasili,anafanya hayo majukumu kwa vile Yanga hawana DM wa asili tangu aondoke Bangala ,pale Uganda Cranes anayecheza DM ni Tadeo Lwanga na Aucho ni box to box.
 
Mechi Simba waliocheza Babakar Sarr, Mzamiru na Kanoute wakianza hapo Namba 6 alikuwa nani?
Hii mechi tunasema akitumia viungo wakabaji wengi Yan DM
Aucho ndo namba DM wa Yanga
Mudathir Huwa anacheza box to box Medfield
 
Duuuh Thadeo Lwanga ameitwa mara ya mwisho lini timu ya Taifa ya Uganda 😅😀😃
 
Huyo Hamza wako kashindwa kumuweka benchi Job timu ya Taifa aje Yanga ndo amuweke benchi!!!?, Job akiri nyingi yule kashindikana
 
Duuuh Thadeo Lwanga ameitwa mara ya mwisho lini timu ya Taifa ya Uganda 😅😀😃
Amecheza mechi kubwa dhidi ya Afrika Kusini ya AFCON qualifier November 15,2024,mechi ambayo aliumia na kutolewa kwa machela.
 

Attachments

  • markup_62822 (1).png
    308.4 KB · Views: 29
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…