Hakuna mchezaji wa Simba anayeingia kikosi cha kwanza Yanga

Man city, Liverpool, Ac Milan, Atletico Madrid hazifuzu robo final ya UEFA ila Aston Villa kafuzu yupo robo final ya UEFA

Mpira uko ivo sio kila wakati utapatia
Ila hizo zote ulizozitaja kasoro Atletico Zina makombe ya UEFA kwenye makabati yao mkuu
 
Nimekudharau kumbe najisumbua kuelekea mbumbumbu mambo ya kiufundi ya football
 
Amini Sasa Kwa quality ya Young Africans kushindwa kufuzu ni bahati mbaya
Hakika wewe ni utopolo,yaani upigwe 2-0 kwenu na al hilal klabu ya daraja la kati halafu useme uto ina quality na haikufuzu sababu ya kukosa bahati?
 
Hakika wewe ni utopolo,yaani upigwe 2-0 kwenu na al hilal klabu ya daraja la kati halafu useme uto ina quality na haikufuzu sababu ya kukosa bahati?
Waulize 5imba alofungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5 anaijua vizuri quality ya Young Africans
 
Waulize 5imba alofungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5 anaijua vizuri quality ya Young Africans
Hakujawahi kuwa na timu yenye quality halafu inaishia makundi mashindano makubwa ,hiyo iwe ni world cup, afcon, cafcl, shirikisho,uefa ,ueropa yaani ukiona umeishia makundi ujue timu bovu.
 
Hakujawahi kuwa na timu yenye quality halafu inaishia makundi mashindano makubwa ,hiyo iwe ni world cup, afcon, cafcl, shirikisho,uefa ,ueropa yaani ukiona umeishia makundi ujue timu bovu.
Hujui mpira
Aston villa aliye fuzu robo final anawazidi quality Man City, Liverpool, Ac Milan na Atletico Madrid
 
Amini Sasa Kwa quality ya Young Africans kushindwa kufuzu ni bahati mbaya
Imekuwaje bahati mbaya miaka nenda rudi iko pale pale kama kawa kwa chura kujimwambafu ndani ya dimbwi la maji taka 🐸🐸

2025-1935=90 huu ni umri wa kibabu chenye laana ya bahati mbaya toka ujanani hadi uzeeni.

Tafuta hoja nyingine ya kuipamba timu mbovu ya enzi na enzi, weka kando neno 'bahati mbaya'
 
Waulize 5imba alofungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
 
Watatokea wapi wakati Mwamedi ananunua mechi kwa kuwaongo waamuzi na wachezaji wa timu pinzani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…