Hakuna mkate mgumu kwenye chai, hakuna mwanaume anayeweza kumnyima mwanamke pesa

Mwanzo umeanza vizuri kwamba tumesema hatuwezi kuhudumia wanawake ambao sio wake zetu kumaanisha tutahudumia ila wake zetu lakini mwishoni unatushauri tuhudumie wanawake zetu.

Wanawake zetu ni wapi hao?
 
Kumbe humu anaepigwa hela ni mimi peke yangu nyie wengine wote ni wajuaji hamtoi hela kizembe
 
Hiyo nature yako haisemi mambo mengine ya msingi zaidi ya kuhamasisha uhongaji?

Hiyo nature ichunguzwe upya.
 
Confession: Mimi binafsi namlaga mke wako.
 
Inapohusu GF na BF ni urafiki wa kimapenzi sio ndoa kama mume na mke ambapo mwanaume lazima awajibike kumhudumia mke
Huyo bf nae akachukue kwao hayo mapenzi, amuache binti wa watu mpaka ndoa ndo waanze kupeana huduma 'mbalimbali'
 
Aziz Ki anaweza mpe hela MABETO?
 
Binafsi niliwahi kushuhudia one of the richest man Tz akimpea Ke 30 millions Tsh.
Hakika nilishangaa sana, na nilipokua mkubwa nilikuja gundua kwamba that's nature.
Mmh mtaje huyo jamaa aliehonga 30 million hata kwa code tu Ushimen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…