Hakuna mkate mgumu kwenye chai, hakuna mwanaume anayeweza kumnyima mwanamke pesa

Hakuna mkate mgumu kwenye chai, hakuna mwanaume anayeweza kumnyima mwanamke pesa

Ukutane na kundi la wapiga punyeto hapa mbona mjadala hautoisha
 
😀😀 hawa wenzetu wanahitaji serious consultation, just imagine mtu anakua mkali kwa hela ambayo hajashiriki kuitafuta wala hamdai chochote mwenzake
Nawashangaa sana wanataka wapate benefit anazopata malaya maana malaya ndio huwa tunawalipa kwa ajili ya huduma ya ngono, lakini hawa ukiwaambia tupatane per night anaona unawadhalilisha.

ephen_ Kapeace
 
Hujakutana na mimi...kula chuma hicho.
 

Attachments

  • Kuachwa.mp4
    2 MB
Eti jamani, kweli pesa ni kitu cha kumnyima babe wako!! Acheni uchoyo.
 
Hiyo nafasi niloacha hapo juu ni kwaajili ya salam.

Ipo hivi. Pamekua na mambo mob sana hapa ndani, na vijana wengi wamekua wanalalamika kwamba "kumtunza ama kumhudumia mwanamke ambae sio mke wako ni uharibifu wa pesa/noti/njaro".

Nasema hivi: Ukimsikia mwanaume analalamika kuhusu kutokumuhudumia mwanamke "amini hana hela".
Tafuteni hela vijana, kumhudumia mwanamke ni kitu ya asili and that's nature.

Nature inasema, mwanamke anapaswa ahudumiwe na mwanaume, haijalishi nini yani.

Ebu hudumieni wanawake zenu maze.

Pia soma: Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako
Hela?

Mmh, acha uzushi, wewe mbona kuna wanawake kibao umewanyima hela?
 
Back
Top Bottom