Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

Hata pamoja na Daud wa biblia kuomba msamaha kwa Mungu bado alipotaka kujenga hekalu Mungu alikataa kwa kumwambia ana damu ya mtu asiye hatia mikononi. Daud hakumuua kwa mkono wake yule jamaa Ulia lakini hata waliotumwa kutekeleza walipata adhabu ya dhambi ile.
Akina Makonda, Sabaya na wengineo mnayo dhambi ile ile hata kama mlitumwa.
Nyie wote ni wauaji pamoja na magufuli wenu. Damu ya akina Mawazo iko mlangoni penu.
 
Huna akili mpuuzi wa mwisho hapa JF. Lema amekuwa mbunge tangu 2016 mpaka 2020 kama kuuwawa si angeuliwa mapema tu.

Lissu kazungunguka mwaka mzima wa 2020 akifanya kampeni . Unashindw kujiuliza? Unabakiza chuki za kishwain.
 
Kwa akili yako nashangaa kwa nini umeandika hapa
 
Hivi kwa akili yako mbovu unalinganisha miradi na uhai wa wana wa watu? Si bora isiwepo??
Mmekosa teuzi mnahaha kuandika ujinga kucha kuchwa!
 
Mna roho mbaya tu. Watu wa mwendazake mlijaa ubinafsi na tamaa.
 
Ila nchi hii watu hupenda kujipa hisia za ajabu sana kuna watu walijipa hisia za watu kufa kwa njaa kwamba hakuna chakula mara watu wanapukutika kwa corona, sasa hata sielewi ni kwa vp wengine wakimbie nchi wengine wabaki na kuendelea na shughuli zao kama Mbowe Sugu na Mnyika hawakukimbia nchi.

Kuna wakati kipindi kile cha corona hata sikutegemea kumuona Lissu akijichanganya na watu tena bila barakoa aliporudi bongo kwenye uchaguzi, maana alikuwa anapiga sana kelele kuhusu corona na kudai watu wanakufa sana.
 
Wenye akili mbovu kama zako uikimbia chadema.
 
Njaa mnayo wafuasi wa sukuma gang mnajitahidi kusafisha sebure iliyojaa mavi mpaka ukutani
 
Siyo kuzimu km magufuli tu, mwambie kama ndg zako waliotangulia pia. Akili zako ni za kifala sana, we na wapiga risasi kwa lissu mko sawa tu maana mnataka asiyewafurahisha afe.
Na alikufa asiyefurahisha. Teh teh teh teh
 
Hivi kwa akili yako mbovu unalinganisha miradi na uhai wa wana wa watu? Si bora isiwepo??
Mmekosa teuzi mnahaha kuandika ujinga kucha kuchwa!
Mithali 10:14 “Watu wenye akili huweka akiba ya maarifa; Bali kinywa cha mpumbavu ni uangamivu ulio karibu”.
 
Huna akili mpuuzi wa mwisho hapa JF. Lema amekuwa mbunge tangu 2016 mpaka 2020 kama kuuwawa si angeuliwa mapema tu.

Lissu kazungunguka mwaka mzima wa 2020 akifanya kampeni . Unashindw kujiuliza? Unabakiza chuki za kishwain.
2020 lissu alizinguka mwaka mzima? Wauaji hata hamuwezi kuhesabu? Tunajua mengi. Magu na nyie mlikuwa wauaji. Mnatakiwa kuzikwa naye chatle
 
Uliyoandika ulikuwa out of your sense. Rudishwa kichwa mahala pake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…