Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Nimekuelewa Sexless na mwanaume wa miaka 45, yeye ni mzee au kijana bado? Daa!
Mwanaume wa miaka 45 bado ana miaka mingine 40 ya kupata watoto. Mfano professor Kapuya miaka 5 iliyopita alifunga ndoa na msichana wa miaka 24 huku yeye akiwa na miaka 76. Piusi Mwandu mpk anafariki (78) alikuwa na mke mwenye miaka 26.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Waoaji kimya tunacheki mtanange kumbe napaswa kuoa under 25 ili nipate mzuri
Ninaye mmoja ana 23yrs mpaka mwezi wa kumi anatimiza 24yrs huyu tayari kishakataa wanaume kama kumi hivi ila mimi ndo kaja kunikubali na kishanidirect mpaka kwao nipeleke barua

Nimemkuta Bikra akiwa na 22yrs kuelekea 23yrs

Nataka nimuoe
 
Wanawahi wakafue majinsi πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Eniwei kuna wazazi wanamisimamo yao, sio njaa njaa to them wanahitaji jinti yao afikie malengo fulani ndio achukuliwe
 
Mlete mume wako humu yeye ndo aseme .Ukute na vumilia yote ili maisha ya sogee tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…