Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

Ni kweli mkuuu sisi wenyewe huwq tunatamani
 
Jana nilichakata piss mboovu snaa Hadi najikaumu walai dah mgogo yule apana kwa Kweli nikitoka pale nilifuta na kubloku namba kbsa
 
HAKUNA MWANAUME ANAERIDHIKA NA MWANAMKE MMOJA HAIPO IYO NA HAITOKUJA KUTOKEA.. K" MOJA INACHOSHA NI MAMBO YA KIHISIA NA SILIMIA 98% YA WANANDOA WAMEINGIA KWENYE MLANGO WA PUNYETO YANI KUFANYA MAPENZI NA WAKE ZAO NA KUVUTA HISIA KWA WANAWAKE WENGINE

WANAWAKE MSICHUKIE HIYO NI NATURE NA WALA SI AIBU KUWA NA PISI ZAIDI YA MOJA

K" MOJA INAMALIZA NGUVU ZA KIUME NA INAUA HISIA HATA KAMA MWANAMKE UNAMPENDA VIPI
 
Nakazia🤣🤣🤣 ingekuwa inaruhusiwa huyu Baba K ningekuwa nishamuongezea mume wa pili🤣🤣🤣
Hahah...kwamba hatoshi unampa msaidizi kama naniii!!!! Tulia mama nanii
 
kataa kukengeuka mkuu. inawezekana.


JESUS IS CHRIST
Kaka mi ni miongoni mwa wale waliopata bahati ya kulelewa katika maadili ya kiimani ya kikristo kwa 99.9% ila tamaaa ni ngumu sana kuishinda yaan ukae robo Karne bila kudinya mtumishi?
 
Kaka mi ni miongoni mwa wale waliopata bahati ya kulelewa katika maadili ya kiimani ya kikristo kwa 99.9% ila tamaaa ni ngumu sana kuishinda yaan ukae robo Karne bila kudinya mtumishi?
kabidhi maisha yako kwa Bwana Yesu, kwa maana ya kuokoka Yeye atakusaidia.

Hatuzishindi dhambi kwa nguvu zetu, ni msaada toka kwa Mungu, na msaada huu hupatikana baada ya kuupokea wokovu ulio katika Kristo Yesu Bwana "tunayaweza mambo yote katika Yeye atutiaye nguvu"

JESUS IS LORD!
 
Ukweli ni kwamba hakuna Mwanaume anayeweza kumtoshereza Mwanamke mmoja.
 
We mwehu nini! Wana vyombo vya starehe. Hata hotelini sahani uliyolia mchana,jioni ukirudi unabadilishiwa.
Full stop. Kipi wanacho wenzao hawana?
Mnataka hela,vya bule wanaume wanapata. So? So what!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…