Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

Kuna watu hapa wako nyuma ya keyboard kujifanya watakatifu wana mke mmoja na wametulia.

Huyo mwanaume HAYUPO na sijawahi muona tangu nizaliwe, labda uwe mgonjwa au una mapungufu fulani
Wacha niwakumbushe TU kuwa sex ni Kati ya mambo ambayo yanasimamiwa na mfumo wa fahamu unaofahamika kama autonomic nervous system (sympathetic na parasympathetic). Mfumo huu unajiendesha wenyewe. Unatumia reflexes na hormones ambazo huna namna yoyote unaweza ku control kwa utashi wako mambo yake kama vile kudisa, ku ejaculate,kupumua, kutoka jasho, kwenda haja ndogo, mapigo ya moyo, kujisikia baridi, hasira, kucheka, nk.

Sasa unapomsikia mtu anasema yeye anaweza kujizuia asidise hata akimuona mwanamke mzuri na mrembo lakini hawezi kuzuia asiende haja ndogo au mapigo yake ya moyo au asijisikie njaa basi mtu huyo ni muongo wa kutupwa au ni magonjwa wa kupindukia.
 
Mkuu, kama mimi mke wangu anasifa zote ninazozitaka ana vigezo vyote ninavyovitaka,
Je kuna ulazima wa kuwa na mchepuko?
Mwanamke wa hivyo labda umemtengeneza wewe mwenyewe maabara.
 
Mimi si muislam, lakini kwa mujibu wa uislam Allah alituumba wanadamu tumuabudu, kwa hiyo kuswali usiku na kufunga ni ibada ambazo humfurahisja Allah napo hutoa thawabu.
Basi kuoa wake wengi pia ni ibada ambayo Allah nae huipenda ndio maana hutoa thawabu.

Na wala hamchukii yule ambae hana wake wengi kwa sababu sio dhambi kutokuwa na wake wengi.
Mimi si muislam
Kwa nini unajibanza na hoja za uislamu alafu ukiulizwa unakuwa unasema wewe sio muislamu ?
 
thawabu ni zawadi na siku zote zawadi hutolewa kwa jambo ambalo ni zuri.
Hoja sio uzuri,sote tunakubaliana kwamba hilo jambo ni zuri.
.hoja sio uzuri hoja ni ulazima elewa shee hoja ni ulazima sio uzuri.
Bado hujanijibu swali mkuu, kwa sababu hujatoa sababu
Sababu kubwa nimekupa kwamba Allah kataka atoe thawabu kwenye jambo hilo.

Lakini oili kama ulivyojibu swala langu ni kuwa hii ni ibada ambayo Allah ameruhusu tuifanye ndio maana ukifanya unapata thawabu.

Kama ambavyo ukifanya ibada za sunna japo sio lazima na ni nzuri ibada hizo basi ukifanya unapata thawabu.
Mfano nakuuliza kwa nini binadamu tunakula , wewe unajibu tunakula kwa sababu tunakula, hapo hujajibu mkuu
Tatizo unauliza huku una majibu yako.

Kama sio muislamu usitumie hoja za uislamu kwa sababu utashindwa kujibu unayoulizwa.
 
Na vipi mimi kidume cha mbegu nikiamua kukaa tu bila kuoa??.
Mungu hajui kuoa, anachofahamu ni wewe kuweza ku sex basi. Kuoa ni mambo ya kijamii TU lakini sio takwa LA uumbaji wako. Ndiyo maana hata bila ndoa watu wanazaa watoto wenye afya na wazuri ambao wanaweza kuwa Marais, masheikh, na maaskofu. Kama kuoa kungekuwa Jambo la msingi basi watoto wote wangezaliwa kwenye ndoa TU, lakini Mungu anafanya uumbaji hata kwa wasio na ndoa kuonyesha kuwa ndoa sio agizo la Mungu.
 
Binadamu na wanyama wote Wana viwango vyao vya tabia, na viwango hivi vinaathiriwa na aina ya kiumbe, afya ya kiumbe, kazi anayofanya kiumbe na hali ya hewa ya mazingira yake. Unaofahamika kuwa kiasi Cha chakula anachokula mtu kinategemea na afya yake, kazi anayofanya na hali ya hewa. Huwezi kuwa mcheza mpira au boxer halafu unakula mara moja kwa siku. Huwezi kuwa mwanaume mahiri kitandani kama unakula mara moja na unakula chai na maandazi 2. Wewe unaesema Mke mmoja anakutosha usikatae kuwa una kasoro Fulani mahali. Inawezekana kuwa huli vizuri, hufanyi mazoezi, au unashida kwenye hormone na nerves zako, tumbo au maradhi mengine.

Mwanaume wa kweli lazima awe na makandokando kwenye sex.
 
Sasa usilazimishe mtu wa ofisini ale mara tatu kama mcheza boxer wakati yeye mwili wake hauhitaji kula hivyo.
Wewe unalazimisha hata asiyekuwa mcheza boxer ale mara tatu kwa siku.
Kuna watu ambao sio wacheza boxer hao mlo mmoja kwa siku inawatosha sana.

Sasa unaposema kwamba mwanaume timamu lazima ale mara tatu unalazimisha hata hawa ambao hawafanyi kazi za nguvu kutumia physical effort manake unataka azimishe wale mara nyingi kwa siku ili wakuridhoshe wewe tu.

Kwa mujibu wa marejeo gani unayasema haya maneno kwamba laazima mwanaume kami ale mara tatu kwa siku ?

Wewe unaesema Mke mmoja anakutosha usikatae kuwa una kasoro Fulani mahali
Hujaweka marejeo ya madai yako yoyote yale bado unazidi kuweka madai tu.
Inawezekana kuwa huli vizuri,
Bado una hisi tu mradi usikose sababu ya kukusapoti kwenye msimamo wako.
 
MwenyeziMungu Hakutengeneza mbegu za kiume za kumwaga TU kwa mkeo kama starehe, mbegu zile ni kwaajili ya uzazi TU baaasi. Zipeleke shambani zinakohitajika na sio kummwagia mkeo asiyezihitaji kwa wakati huo. Kama Yuko mwanamke anatafuta mbegu hazipati wewe mbegu hizo unazimwaga kwa mwenamke aliyejifungua miezi 3 iliyopita ni upuuuzi na ujinga wa kiwango cha juu sana, hujui kwanini Mungu alikuumba mwanaume, hi heri angekuumba mwanamke. Maana hata beberu anampanda yule TU mwenye uhitaji wa mbegu.
 
Wewe unaweza hayo kwakuwa chakula chako ni chips mayai, kacholi, ice cream ndo maana hata apite mbele yako Mke Yuko uchi hushituki. Shababi hawezi kula mlo mmoja akamudu kuwa mume.
 
Usije ukajisifu mbele ya watu kuwa Mke/mume wako hachepuki, utakujapata aibu ya mwaka
Nilishaacha kukili udhaifu and it does work for me.Sometimes tunampaga sifa za kijinga sana shetani.
 
Sawa boss.

Naona maneno mengi

Endelea kuongea,ukianza kujenga hoja nitakuja.
 
Wewe unaweza hayo kwakuwa chakula chako ni chips mayai, kacholi, ice cream ndo maana hata apite mbele yako Mke Yuko uchi hushituki. Shababi hawezi kula mlo mmoja akamudu kuwa mume.
Sawa.

Ukianza kujenga hoja nnitakuja,sasa hivi sijaona hoja zaidi ya mipasho tu mkuu,na mimi najidili hoja sio mipasho
 
Sex sio kazi rahisi ya chips mayai kaka, sex inataka nguvu nyingi sana, nguvu inayopotea kwenye mshindo mmoja TU unaweza kuitumia kutembea miles 11 kwa miguu. Hivyo huwezi kuwa effective kitandani kama hujashiba.
 
Sex sio kazi rahisi ya chips mayai kaka, sex inataka nguvu nyingi sana, nguvu inayopotea kwenye mshindo mmoja TU unaweza kuitumia kutembea miles 11 kwa miguu. Hivyo huwezi kuwa effective kitandani kama hujashiba.
Sawaa mkuu
 
Mwanamke wa hivyo labda umemtengeneza wewe mwenyewe maabara.
Una umri wa miaka mingapi?
Umeoa?
Una familia?

naomba unijibu hayo maswali kwanza kisha tuendelee isije kua nasumbuana na mvulana
Pia nikwambie tu tunatofautiana tabia, mazingira ya kazi, tunayoishi

binafsi maeneo yangu ya kazi na mazingira ninayofanyia kazi huwa nakutana na wanawake wa aina tofauti, umri nilionao na maisha niliyopitia sioni kipya kwa wanawake

hivyo mimi kupata mwanamke asilimia 90 ya sifa ninazozitaka ni jambo rahisi sana

hatufanani mkuu
 
Kinachonichanganya ni kwa nini atoe thawabu kwa wake wengi na asitoe kwa mke mmoja?

Na tukirejea kwenye maana ya thawabu ni zawadi.

Umeshindwa kunijibu hapa ndugu safuher nikakuelewa vizuri.

Jibu lako la kwamba antoa thawabu kwa sababu anatoa thawabu halitoshi mkuu.
 
Kinachonichanganya ni kwa nini atoe thawabu kwa wake wengi na asitoe kwa mke mmoja?
Nani kakuambia kwamba ukioa mke mmoja hupati thawabu ?

Ukioa mke mmoja unapata thawabu,anayeoa wake wengi anazidi kupata thawabu kama ambavyo ukifunga siku moja una thawabu lakini ukifunga siku nyingi na thawabu zinazidi.

Kwa hiyo unatakiwa uelewe kwamba mwenye mke mmoja naye anapata thawabu sio kwqmba hapati.
Umeshindwa kunijibu hapa ndugu @safuher nikakuelewa vizuri.
Sasa hivi ndo umeweka swala lako vizuri.

Jawabu ni kuwa hata mwenye mke mmoja thawabu(zawadi) anapata usidhani kwamba mwenye mke mmoja hapati thawabu,anapata.

Katika uislamu chukua msingi huu "UNAPOZIDI KUFANYA IBADA BASI THAWABU ZINAZIDI".

Hivyo ukifunga siku moja thawabu unapata,ukifunga siku nyingi na thawabu zinaziidi.
Jibu lako la kwamba antoa thawabu kwa sababu anatoa thawabu halitoshi mkuu
Nilishakujibu huko juu kwamba hayo ni maamuzi yake kutoa,lakini pia ni ibada hiyo ndio maana anatoa thawabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…