Lwngo la mifano hiyo ni kukufahamisha wewe ndugu ili upate kuelewa kwamba sio kila kilicho muhimu basi ni lazima.
Lakini bado hujanifahamu ila utafahamu kwa uwezo wa mungu kisha juhudi zako.
Kujisikia njaa hupangi huwa inatokea tu,sasa hapa duniani sio kwamba spte tunajisikia njaa pamoja.
Kuna watu wakila asubuhi wao kujisikia njaa mpaka usiku ndo walw tena.
Kuna watu kila wakila wao kujisikia njaa baada ya masaa manne.
Usihukumu kwamba kujisikia njaa ni kila baada ya masaa manne kwa kumuangalia huyu anayepatwa na njaa mara kwa mara,lazima kila mtu umpe hukmu yake.
Usitake kuniambia kwamba hapa duniani watu wote tunakula sawa milo mitatu,kuna watu wanakula mlo mmoja tena kwa kuridhika.
Kuna watu wanakula milo mitatu,wengi milo minne.
Haya yote ni kwa sababu ya metabloci activities zao katika mwili.
Hivyo suala sio kusikia njaa bali suala unasikia mara ngapi.
Ndio hivyo hivyo katika wake.
Suala sio kupata hamu unaweza kupata hamu mara tatu kwa siku ukamalizana na mkeo mmoja
Hapa suala ni kwamba lazima watu wote wawe na wake wengi ati kkwa kuwa matamanio yao hayawezi kukidhiwa na mke mmoja ?
Jawabu sio lazima kila mtu awe na wake wengi ili matamanio yake yakidhiwe barabbara.
Unaweza kuwa na mke mmoja tu na ukaishi nae huyo huyo kama amnavyo kuna ambao wanaweza kula mlo mmoja tu wakasavaivu siku nzima.
Pia katika kukojoa kuna watu wanakojoa mara tano kwa siku.
Kuna ambao wanakojoa mara mbili tu kwa siku.
Usitake kulazimisha kwamba kila mmoja lazima akojoe mara tano kwa siku na ukamhukumu huyu anaekojoa mara mbili ni mgonjwa,kila mtu ana metabolic activities zake mwilini.
Usitake kulazimisha kila mwanaume normal weight yake iwe kilo 60 wakati kuna wengine ni warefu wana mifupa migumu sana na minene.
Kila mmoja atakuwa na weight kama ambavyo kila mmoja atakuwa na matamanio,lakini kila mmoja atakuwa na weight yake sio kwamba binadamu owte tutakuwa na weoght sawa.
Wakikutana na wewe bila hsaka utawaambia hawako normal kama wanaume wenzao.
Hata katika kimo kila mtu ana kimo chake usitake kulazimisha kwamba wanaume wote lazima tuwe na urefu wa futi sita.
Kila mmoja atakuwa na urefu kama ambavyo kila mmoja atakuwa na matamanio lakini haina maana matamanio au urefu utakuwa sawa kwa wote.