Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

Haijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi

Mungu kashindane naye kwa maana umejiumba.

Rejea mwanzo Mungu aliumba hawa na adam.

Na walipodanganywa wakapewa adhabu halafu wakaenda kuishi wenyewe nje ya bustani iliojaa kila kitu.

Halafu wewe tamaa zenu ndio mnazipigia debe .

Mxiuuu lione hata haya huna basi kwa taarifa yako hata wanawake wanaojitambua wao nao wanaume zaidi ya mmoja .
 
Dhambi hizo acha wewe.

Achaaaaaa
 
Hayo majogoo na mabeberu hayajui kulima, kubeba zege n.k. Sasa wewe endekeza kwichikwichi wewe unakonda wenyewe wananenepa.
 
Tuweke sawa mkuu, mimi si muislam nimetolea mfano uislam kutokana na mada husika.

Uliuliza kwa nini Allah kaweka option suala ma mathna nami nikakujibu kwa jinsi ninavyoona kuwa huenda alifanya hivyo kwa sababu niliyotaja hapo juu.

Kusema hivyo haimaanishi nampangia kazi Allah, siwezi na sina uwezo huo.

Kuhusu ukamilifu, kutokana na muktadha husika ukamilifu ninaozungumzia ni urijali.

Kuhusu suala na maswahaba wa Mtume kuwa na mke mmoja sidhani kama linanihusu sana sababu narudia si muislam nimetolea mfano tu kutokana mada husika.

Mwisho nikuulize kwa nini Allah atoe thawabu linapokuja suala la mathna kama halina umuhimu?
 
Ume-generalise bila kuwa na research yoyote. Tupo wengi tu na mimi ni mmoja wapo wenye mke/mwanamke mmoja. Inawezekana kabisa kuyashinda majaribu yote ukidhamiria kwa dhati.
 
Wewe utakuwa ni mwanaume tu na siyo MWANAUME!!

MWANAUME kuwa na mke mmoja ni udhaifu mkubwa! Muhimu ni heshima tu kwa mke halali! Mfano kwa sisi wakristu. Aamini kama yuko peke yake, kwa namna anavyopendwa na kuthaminiwa.
Ndiyo maana hata mkewako utakuta naye ana mtu wake mwingine lakini anakutunzia wewe heshima udhani uko peke yako
 
Sio kweli, hujawahi kumjua mke mwingine huko nyuma? yaani kufumba na kufumbua ni huyo tu. Na huyo mke uliyenae unadhani wewe ndiye wa kwanza kumkwichi? Usijidanganye mwenyewe.
Kama wewe umeoa waliotumika ni wewe, wenzio wameoa bikra ndg.
 
Agiza kidari au paja kwa suka hapo shushia na mountain dew barid kabisa

Naja kulipa vyote
 
Tuweke sawa mkuu, mimi si muislam nimetolea mfano uislam kutokana na mada husika.
Sawa mkuu nimekuelewa sasa unatakiwa uache kutumia hoja ya uislamu kwa sababu unapotumia hoja hiyo utaulizwa maswali ukashindwa kuyajibu.
Uliuliza kwa nini Allah kaweka option suala ma mathna nami nikakujibu kwa jinsi ninavyoona kuwa huenda alifanya hivyo kwa sababu niliyotaja hapo juu.
Mambo hayaendi kwa jinsi unavyoona wewe,kila mtu ana uoni wake.

Kinachotakiwa kama ni ioni wako sema unaona kwa mujibu wa uoni wako usiegemeze uoni wako katika dini fulani ili ikupe sapoti.
Kusema hivyo haimaanishi nampangia kazi Allah, siwezi na sina uwezo huo
Sasa uache kusema au kusapoti kwamba kila mwanaume lazima awe na wanawake wengi hiku ukiegemeza maneno hayo kwamba hata Allah kakusudia hivyo alafu ukiulizwa unasema wewe sio muislamu.
Kuhusu ukamilifu, kutokana na muktadha husika ukamilifu ninaozungumzia ni urijali.
Hujajibu swali.

Ili uwe rijali unatakiwa uwe na sifa gani,uwe vipi ?
Kuhusu suala na maswahaba wa Mtume kuwa na mke mmoja sidhani kama linanihusu sana sababu narudia si muislam nimetolea mfano tu kutokana mada husika
Sasa ahpo ndo uone kwamba hata hao vinara wa uislamu hapo nyuma ambao waliishi na mtume alioleta uislamu kwa wakati huo hawakyona ulazima kama mabao unataka kutuaminisha hapa.
Mwisho nikuulize kwa nini Allah atoe thawabu linapokuja suala la mathna kama halina umuhimu?
Kutoa thawabu haifidishi ama haioneshi kwamba jambo hilo ni lazima kwa watu wote kwamba hawawezi kuliepuka.

Mfano Allah anamlipa thawabu mtu ambae ataswali swala ya sunna.

Unaweza kuthubutu kusema kwamba sala ya sunna ni lazima kila mtu kuisali ?

Allah anamlipa thawabu mtu ambaye atafunga sunna za jumatatu na alhamisi.

Unaweza kuthubutu kusema kuwa kufunga suna ya j3 na alhamisi ni lazima kila mtu afunge ?

Haya maswali ninayokuuliza sitarajii useme kwamba wewe sio muislamu.

Kama huna majawabu ya maswali haya hoja zako egemeza kwa mambo mengine usiegemeze kwa uislamu kwa sababu utakuwa jnashindwa kutetea hoja zako.

Hivyo suala la mathna Allah anatulipa kwa sababu ndivyo alivyopanga kama ambavyo Allah hutulipa kwa ibada zingine za sunna kwa sababu ndivyo alivyopanga na kutupendelea kwetu heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…