Ustaarabu uko kwenye usiri, kukuzuga, kujificha na kutumza Siri. Hakuna mwanamke mwenye sifa na tabia zote anazotaka mwanaume. Tabia ya mwanamke inadumu kwa masaa au siku chache TU tayari imeshamkinaisha mwanaume. Ndio maana mwanamke usiishi kwa mazoea lazima ubadilike kIla wakati kupika, usafi, kulala, kuvaa na hata kucheka. Harufu ya mdomo, uchi au nywele inatosa kumkinaisha mwanaume.Ahsantee! Mleta mada usijidai kama hujaona hii comment hapa.
Ni wewe peke yako ndiye huna mke 1, wanaume wengine ni wastaarabu
Hata Adam alipewa mbegu nyingi sana kama wewe lakini mbona alipewa mke mmoja tu ambaye ni Eva!!!! Acha kutuongepea!Mungu sio mjinga akupe mbegu nyiiiingi kwenye korodani zako eti kwaajili ya kimwanamke kimoja. Mbona hakufanya hivyo kwa ndege, wanyama na viumbe vingine? Yaani unahalalisha woga kwa mkeo. Yaani unaongea udhaifu wako uliokithiri dhidi ya mkeo. Unasahau kuwa wewe, beberu, jogoo wote mna wivu, mnatongoza, mnakula, mnaenda haja ndogo na kubwa, mnahema, mnasikia njaa, mnalala usingizi, mnajisikia kiu pamoja. Mbona wewe huachi kufanya hivyo vingine vyote Ila unachagua eti kuacha kugawa mbegu ulizopewa kwa wanaozihitaji. Eti mwanamke mmoja TU, unamfanya Mungu zezeta kukupa mbegu nyiiiingi.
Halafu wanakuja kutuongopea humuMuongo simu yake na ya mkewe zIna password
Ahsante kwa mwongozo, okay nitaanza kuwapelekea moto tu sioi tenaSasa hivi unawashuhulikia TU, mwanaume mwenye akili timamu hafungi ndoa ya kanisani, maana mashrti ya Mke na mume mmoja hayatatimia. Kwenye mapenzi hakuna dini, elimu, tajiri Wala kabila. Mke wa tajiri analiwa na Mke wa maskini analiwa, mlokole analiwa na changudoa analiwa, mweupe analiwa na mweusi analiwa, kilema analiwa na mzima analiwa pia, mke wa mbunge analiwa na Mke wa balozi wa nyumba kumi analiwa. Ukimbia mshale n ukisimama mshale.
Hiyo habarHata Adam alipewa mbegu nyingi sana kama wewe lakini mbona alipewa mke mmoja tu ambaye ni Eva!!!! Acha kutuongepea!
Hiyo habari ya Adam na Eva ni hadidhi tamu TU iliyosimuliwa na kukubaliwa na wengi, lakini hakuna ushahidi wa kutosha kuwa mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume. Je, na inzi wa kike walitoka kwenye ubavu wa inzi wa kiume? Mchwa je, mbuzi je nao wanawake wao walitoka kwenye ubavu wa beberu? Hizi ni hadithi zinazo watweza wanawake na kuwakuza wanaume ndani ya jamii, zIna nia ovu kwa wanawake. Haiwekani iwe wanawake wa binadamu TU ndio watoke kwenye ubavu wa wanaume lakini wale wa Kobe, nyani, tumbili, nguruwe na jongoo watoke kwingine lakini Leo hii wote wanazaana kwa kujamiana. Kwanini watu wasiendelee na kuchomoana mbavu na kuwaacha wanyama na viumbe wengine waendelee na kujamiana na kuzaa? Kusema tuache hadithi za Napoleon na kubuni ilimradi liende.Hata Adam alipewa mbegu nyingi sana kama wewe lakini mbona alipewa mke mmoja tu ambaye ni Eva!!!! Acha kutuongepea!
Halafu wanakuja kutuongopea humwawa
Wawaongopee haohao wake zao. Wanawake ni ulimbo unaonasa kIla mtu na utelezi unaoangusha hata Marais na maaskofu sembuse yeye. Nabii suileymani hakua dafu kwa yule mwanamke mhabesh, Queen wa Sheba sembuse yeye karunguyeye. Mwanamke akikudhamilia kukupata hakukosi labda uwe hanithi. Wanamuziki wote duniani wanahubiri uzuri na ubaya wa wanawake. Wahubiri kIla siku wanahubiri zinanaa zinanaa zinaa kwanini? Ni utelezi wwa woteaHalafu wanakuja kutuongopea humu
Nakazia...Huu Uzi umejaa comments za kinafiki sana asee
Mkuu mtoa uzi umeandika ukweli asee mmoja wapo Mimi sina demu mmoja na sitarajii kuwa na demu mmoja hadi naingia kaburini
Narudia tena hakuna mwanamke mwenye sifa zote anazohitaji mwanaume hata kama mwanamke huyo awe mzuri kama malaika au tajiri namna gani, utimamu wa mwili, akili na uchumi wa mwanaume ndio utakaoamua mume awe na wanawake wangapiNakazia...
Unafiki wa kiwango cha sgr
Ni wachache ila wapoI
Narudia tena hakuna mwanamke mwenye sifa zote anazohitaji mwanaume hata kama mwanamke huyo awe mzuri kama malaika au tajiri namna gani, utimamu wa mwili, akili na uchumi wa mwanaume ndio utakaoamua mume awe na wanawake wangapi
Kama Nani, toa mfano ili watu wajifunze kutoka kwake.Ni wachache ila wapo
Wa kwangu hana mambo ya kando kandoKama Nani, toa mfano ili watu wajifunze kutoka kwake
Zingatia kodi za kizalendo mkuu.Kunywa Pepsi bariiidi nalipa
Mimi ninaishi uhalisia,hayo maagizo yapo na sijui kwa nini Mungu aliyaweka.Kwa hiyo Mungu alivyoagiza kwenye vitabu vitakatifu watu kuacha zinaa na uasherati ameagiza huku akijua kuwa haiwezekani kuacha sababu ya nature?
Kuna watu hapa wako nyuma ya keyboard kujifanya watakatifu wana mke mmoja na wametulia.Mungu sio mjinga akupe mbegu nyiiiingi kwenye korodani zako eti kwaajili ya kimwanamke kimoja. Mbona hakufanya hivyo kwa ndege, wanyama na viumbe vingine? Yaani unahalalisha woga kwa mkeo. Yaani unaongea udhaifu wako uliokithiri dhidi ya mkeo. Unasahau kuwa wewe, beberu, jogoo wote mna wivu, mnatongoza, mnakula, mnaenda haja ndogo na kubwa, mnahema, mnasikia njaa, mnalala usingizi, mnajisikia kiu pamoja. Mbona wewe huachi kufanya hivyo vingine vyote Ila unachagua eti kuacha kugawa mbegu ulizopewa kwa wanaozihitaji. Eti mwanamke mmoja TU, unamfanya Mungu zezeta kukupa mbegu nyiiiingi.
Ndio maana hakukua na lose girls mitaani. Leo hii unaweza kunywa maziwa kwa urahisi sana, dini zimeharibu equilibrium, wanawake wanateseka mitaani inawabidi watembee nusu uchi ili kuvutia wanaume ambao wameshikiliwa na dini zao kwa kiijianamke kimoja kinachotumia uzazi wa mpango eti kiwe na watoto 2 TU na ngono basi. Mwanaume nae kwa woga wa mkewe na maisha eti anaatamia kiianamke kimoja na watoto 2 humo ndani na kuning'iniza kende zenye mbugu nyingi kwenye suruali ambazo zingeweza kutumiwa na wanawake 3 au 6 wengine.Jamii zetu nyingi hili lilikuwepo na wanalijua. Shida ni hizi dini tulizopokea! Ati mwisho mmoja! Au wanne! Babu zetu kabla ya hizi dini waliona "busara" ya kuwa na wake wengi (hakukuwa na limits, ukiwa na uwezo wa mali na afya, unaoa zaidi).