Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Mkuu unanifurahisha sana unaposema mwanaume kuwa na wanawake wengi kuwa fake na dhaifu.Nadhani aliweka hiyo option kwa wanaume fake, yaani wanaume dhaifu wasio na uwezo wa kuhimili na kudhibiti hisia zao!
Naamini unaweza ku"control" nature! Mungu amekupa uwezo huo! Ndiyo maana mwanadamu amebuni namna mbalimbali za kuishi maeneo mbalimbali ambayo mengine kiasili tusingeweza kuishi! Mfano maeneo yenye baridi sana au joto Sana nk!
Sio tuonekane hivyo bali tuko hivyo, na kama hauko hivyo basi kuna shida mahala.Mtoa mada nyie ndio lile genge la watu wa hovyo mnaofanya wanaume wote tuonakane hivyo!
Sawa, hakikisha kuwa unamkojolesha angalau mara 3 kwa wiki na kumpatia mahitaji yake na Yale ya watu wake nyumbani kwao. Siku utakapotembea nae bila ya kumkojolesha au wiki ipite bila kumpitia Anza kulia mwenyeweMi niko na mkewangu tu 1 year sasa
Kwa kipindi chote cha mwaka mmoja hujawahi kutoka nje ya ndoa?Mi niko na mkewangu tu 1 year sasa
Yes mkuu sijawahi toka nje ya ndoa yangu na nampenda mkewangu haswaaaaaaKwa kipindi chote cha mwaka mmoja hujawahi kutoka nje ya ndoa?
Nilimtafuta mwenyewe na nikampata mwenyewe katika mazingira mazuri tuHuyo mkeo ulimpataje? Ulitafutiwa au ulimtafuta mwenyewe? Ulimoata kwenye mazingira gani?
Sasa kaka, Mimi ni mfugaji pia, yapo madume ambayo ni wavivu zizini, hayana hekaheka kazi Yao kulala na kulala ng'ombe hawazai. Hata wewe inawezekana ni mume wa aina hii, unahiyari Leo upande au usipande. Ili udise lazima uvutwevutwe na mkeo ndio uume ushituke na ukishapiga kamoja basi inakutosha unaendelea na usingizi.Yani ukijiona unaamini kwamba "hakuna mwanaume mwenye mke mmoja" basi jua wewe ni mjinga unaelazimisha watu waamini unachokifanya wewe.
Usitake kuwalisha sumu mbaya wanawake waanze kuwa na hofu na waume zao.
.
Issue hapa sio ovulation, lakini mwanaume halisi anasisimuliwa na sauti, umbo, kunusa, kuona, kupapasa, simulizi na hata kufikiria TU, na wakati mwingine anasimamisha hata akishikwa na mkojo au ndotoni, joto LA mwanamke na kupapaswa. Hii ni kwa viumbe wote. Sasa wewe inamaana hauko kamili.Usiwe mbishi we jamaa.
Na huu ni udhihirisho wa ujinga ambao uko nao JUU YA JAMBO HILI.
Ishu ni tamaa zako za mwili.
Wanasema nature mwanamke akiwa katika siku zake za ovulation anakuwa na hamu sana na kuna watu wanaeneza propaganda kwamba hawezi kustahamili lazima atafute mtu ampige mshawasha tu.
Je unataka kutuambia kwamba kila ovulation ya mwanamke hapa duniani lazima atafute mtu ampige mshawasha sio ?
Kwani hata ukioa hao wanne utaacha kuwa na wanawake wengine? Hiyo ni tabia!!Sidhani kama ni mtazamo, ila ndio nature kubali ukatae. Mimi ni mwanaume, rafiki zangu ni wanaume, kaka zangu ni wanaume namuelewa sana mleta mada.
Huyo mwanaume ambaye ana mwanamke mmoja huenda ana shida fulani katika mwili wake.
Wewe ni muislamu kama sikosei, unadhan Allah alivyoruhusu mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja alikosea?
Kikubwa hapa sio uadilifu, maana uadilifu ni kitu kinachoamuliwa na jamii ya watu Fulani kuhusu nini ni uadilifu na nini sio uadilifu (social construction), lakini kitandani, kudisa, kuwa na mbegu nyingi zinazozalishwa na korodani ni kwa wanaume wote hata kwa viumbe wengine.Mkuu huyu jamaa hujamuelewa.
Mungu kuruhusu jambo haina maana kwamba hauwezi kuishi bila jambo hilo.
Na laiti ingelikuwa haiwezekani mtu kuishi na mke zaidi ya mmoja basi mungu angesema ni LAZIMA KUOA WAKE WENGI.
Lakini hata Mungu mwenyewe anajua kwamba sio lazima KILA mwanaume aqe na wake wengi lakinni akaruhusu kwamba atakae tena afannye kwa wale wanaotaka.
lakini pia Mungu akaweka kigezo kwamba ikiwa utahofia uadilifu nasi ukae na mke mmoja.
Hapa kigezo cha kuhofia kuwa na wake wengi ni uadilifu.
Hii maana yake uadilifu kwa mwanamume ni jambo la lazima analotakiwa awe nalo ili aishi nna wake wengi.
Hivyo uadilifu ni kigezo kinachotangulizwa zaidi kwa mtu kuwa na wake wengi kuliko matamanio.
Kama una matamanio ya wake wengi na uadilifu huna basi dini inakukataza kuongeza wake.
Mkuu, kama mimi mke wangu anasifa zote ninazozitaka ana vigezo vyote ninavyovitaka,Sio kweli kabisa unachosema, lazima wewe una kasoro ya kiume, tena kubwa. Walishindwa hata manabii, maaskofu, masheikh, marais wakubwa, nk, sembuse wewe?
Tofautisha Kati ya kufunga sunna na kujisikia kiu, njaa, usingizi, joto, baridi, haja kubwa, haja ndogo, kudisa, kitamani, nk. Kufunga, kwenda au kurudi unaweza kupanga wewe lakini kutamani na kudisa huwezi kupanga wewe, inatokea TU. Kama wewe ndiye unaepanga kusinzia kwako, kujisikia njaa kwako, kwenda kukojoa kwako au kudisa kwako basi wewe ni mgongwa, abnormal.Sawa mkuu nimekuelewa sasa unatakiwa uache kutumia hoja ya uislamu kwa sababu unapotumia hoja hiyo utaulizwa maswali ukashindwa kuyajibu.
Mambo
Usitufananishe sisi na wewe, sisi wengine tumeridhika na mke 1. Usitusemeee wewe sio msemaji wetu
Kwa kukosa uelewa wengi watasema dhaifu ni yule mwenye mke mmoja! Lakini ukweli dhaifu ni yule asiyeweza kujizuia kila tako likipita! Wewe ni weak! Mwanaume halisi ana sifa zake! Ni yule asiyetikiswa na tako hovyohovyo! Sasa wewe na udhaifu wako huo unaweza kufanya maamuzi ya hovyo na kuharibu Mambo mengi katika jamii yetu! Kuna watu wametoa ajira kwa watu wasio na sifa kwa sababu ya rushwa ya ngono nk. Walisema hakuna mwanaume kama YESU hawamaanishi YESU alikuwa na wake wengi! Kuna sifa ziazomfanya aitwe hivyo! Na ngono siyo moja ya sifa hizo kwa taarifa yako!Mkuu unanifurahisha sana unaposema mwanaume kuwa na wanawake wengi kuwa fake na dhaifu.
Kwenye uhalisia hilo halipo, nenda hata kijijini kwenu au mtaani kwako uliza nani mdhaifu kati ya mwenye wengi au mmoja
Sijui unaishi dunia gani ndugu.