Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

Nnaona idadi kubwa ya wanaume wagonjwa wanajitutumua kua mtoa mada kakosea. Ukiona mwanaume unatosheka na mwanamke mmoja jua we ni mgonjwa tu, ni dhaifu na usipochukua hatua utawahangaisha ndugu zako kufunga turubai, mwanaume shababi hatosheki na mke mmoja na we mwanamke unaejitambua mumeo akikwambia uko peke yako, kunja ngumi jipige kifuani mwambie mumeo Asante kwa kunidanganya
Eti mkeo Yuko kwenye siku zake siku 7 wewe unasubiri, ni mjamzito hadi kukaribia kujifungua wewe unampanda TU hivyohivyo, amejifungua wewe unamsubiri TU siku 40, ananyonyesha mwanao wewe unampanda TU kama vile hakuna wanawake wengine, ameenda kwao kusalimia wewe unasubiri TU arudi au unamkataza asiende kwao kusalimia wazazi wake, au asiende masomoni, au asifanye kazi. Wewe ni chizi sawa na machizi wengine, na Mungu anatamani asingekuumba mwanaume.
 
Hana mkuu, japo wanafanya ila sio kwa kiwango kikubwa kama wanaume.

Ndio maana unaweza kuta babu wa miaka 70 ana mchepuko 😁😁, ila si rahisi kukuta mwanamke wa miaka hiyo eti ana mchepuko ni ajabu sana.

Ni nature tu, daima itadumu ivo
Vibabu vinafia guest lakini vibibi vinafia uvunguni mwa kitanda Chao chumbani kwao.
 
Haijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi

Hapa una'commit' fallacy ya generalisation. Ukiwasamea wanaume wote ina maana unafahamu mawazo na hisia za kila mmoja wao na kila mmoja wao ana maisha gani, amelelewaje, anakula nini na wapi na nani na analalaje na nani. Nani kakupa huo uwezo? Mimi najisemea mwenyewe na sisemewi na mtu na nina mke mmoja. Labda wale unaowasemea ndio wenye wanawake zaidi ya mmoja.
 
😄😄huo ni ukweli kabisaa tuondoe sababu zingine zote tuangalie sababu za kimaumbile mwanaume rijali mwenye afya njema anaweza kukwichikwichi siku 365/366 lakini kwa maumbile ya mwanamke hawezi🙌🙌 that's biology kwa sababu hiyo mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja inawezekana lakini sio kwa mwanamke
 
Imeandikwa : pasipo maono watu hushindwa kujizuia.

Wenye maono wanajua kujizuia na uovu.

Yani unaruhusu tamaa ikutawale badala ya wewe kuitawala?!
Kujizuia ni pale unaposhuhulika na mambo kama wizi, kusengenya, kupiga mtu, kwenda, kurudi, kufanyakazi fulani na vitu vyote ambavyo utashi wako unahusika kufanya au kuacha, yaani una hiari navyo. Lakini sex sio miongoni mwa mambo ambayo una hiari nayo, yaani autonomic nervous system ndiyo inaamua iweje.

Ina maana kama mkeo amenipenda Mimi hata ufanyeje lazima atakuja kulala na Mimi TU. Kupenda huko kutamfanya asiwe kula, kulala na kuwa na furaha hadi anipate. Mapigo yake ya moyo yatapiga kila akinifikiria Mimi, hata ukisex nae atakuwa yeye ananifikiria Mimi badala ya wewe. Hata mwanaume Yuko hivyohivyo, tena mara 20 kuliko mwanamke. Akiwaza hilo hatajali risasi, ugoni, gharama, lazima afanye TU kwakuwa mwili unamtuma kutia.

Kuna vitu vya kujizuia lakini sio kujisikia njaa, kuhema, kupepesa macho, kwenda haja kubwa, kudisa, kusex, moyo kupiga. Usichanyanye maandiko, kusex sio uovu, kama ungekuwa uovu Mungu asingeruhusu mimba zitungwe nje ya ndoa. Hizi ndoa ni vitu vilivyobuniwa TU na wanaume wenye wivu lakini havitoki kwa Mungu (social construction) lakini ziko jamii zisizofunga ndoa duniani na zipio, zipo jamii mwanamke analipa mahari na zipo. Zipo jamii mwanamke anamuoa mwanamke mwenzake na zipo. Alichoumba Mungu ni mume, Mke, vigina, penis, kudisa, kupenda, mimba, kuzaa, sura, umbo, sauti, sauti, ubongo, nk basi, hayo mengine ni jamii iliamua TU.
 
Hapa una'commit' fallacy ya generalisation. Ukiwasamea wanaume wote ina maana unafahamu mawazo na hisia za kila mmoja wao na kila mmoja wao ana maisha gani, amelelewaje, anakula nini na wapi na nani na analalaje na nani. Nani kakupa huo uwezo? Mimi najisemea mwenyewe na sisemewi na mtu na nina mke mmoja. Labda wale unaowasemea ndio wenye wanawake zaidi ya mmoja.
Hatuwasemei wanaume wengine, Ila tunaongea, generalization kuwa wanaume wote wanafahamika kuwa Wana, penis, testis (korodani), moyo Lushoto, androgen hormones, tezi dume, moyo mkubwa kuliko mwanamke, nk. Kwahiyo, kama tutakuta mwanaume Hana korodani tutamshangaa, kama tutakuta mwanaume anaweza kujizuia kwa mwanamke mmoja TU pia tutamshangaa.
 
"Mnapomshangaa" unakuwa wewe na nani na inawasaidia nini?
 
Funny fact. Waislamu wengi sana huwa wanatetea dini imeruhusu mke zaidi ya mmoja. Ni kweli..lakini sasa mbona huwa hawatimizi hili agizo.

Inaruhusiwa wake hadi wanne ikiwa wewe mwanaume una nguvu sana na spidi ambayo yule mke mmoja haiwezi. Kwa lugha nyingine mke anakuwa hawezi kutimiza haja zako maana mwanaume unakuwa rijali extra extra. Hapo tu ndo dini inaruhusu kuongeza mke.

Ila sasa wanaume wa leo. Kimoko chali. Mavi ya bata kabisa. Af eti dini inaruhusu kwa nguvu gani babu. Tena wewe mshindia makange, kvant, na biriani friday my foot kabisa. Mazoezi huyajui. Zaidi unaujua mkongo hahahha...embu nipishe bwana.

Mnahangaisha hizo mb** zenu tu jamani. Nguvu hamna. Mkija kwa wake zenu kimoko chali mwanamke anakesha kutafuta madildo tu ajiridhishe. Afu uko nje mnategemea mkongo, sijui puturuu na kvant jamani jamani bado na viagra hahahah.

Af mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja jamani....wenzenu akina suleiman walikuwa fire bi moto nyinyi sasa....poooh!!! Haya hangaikeni mkichoka na viuno vimevurugika mnatembea tafkiri gani iliyokatika centre bolt!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#povuruksahuundoukwelihamnalolote#mafikunuka
Kimoko chali...

Halafu inawezekana kimoko yenyewe anamuacha mkewe hata bondeni yeye chwaaap mlimani

Ila kutwa kuhangaika!!!
 
"Mnapomshangaa" unakuwa wewe na nani na inawasaidia nini?
Kwani usimshangae mwanamke mwenye ndevu kidevuni na kifuani? Kama ilivyo kwa ulemavu mwingine Wako wanaume ambao wana kosoro (ulemavu) kwenye tendo LA ndoa. Wako ambo hawasimamishi, wako ambao hawana hamu ya tendo LA ndoa, yaani hawababaishwi na wanawake, wako ambao hawawezi kurudia, wako ambao wanakojoa haraka hata kabla haijazama ndani, wako ambao hawakojoi kabisa, wako ambao lazima anywe dawa (vumbi, mkuyati, mo energy, pombe, pweza), wako ambao mpaka amfikirie mwanamke mwingine ndio aweze kusimamisha kwa Mke aliyenae kitandani, Yuko ambae mbegu zake ni mbovu kabisa, wako ambao wana mbegu chache kabisaa, wako ambao wana maji (mkojo) mchache kabisa usiolowanisha uke, wako waliokula limbwata, wako wagonjwa wa kisukari, pressure na msongo. Nk.

Kwahiyo hatukatai kwamba Yuko mwenye Mke na mume mmoja TU na Hana shida yoyote. Juzi kuna mfugaji mwenzangu amekuja kuazima dume langu apeleke kwenye zizi lake, maana dume lake halipandi sana inavyotakiwa iwe. Kwahiyo ulemavu huu sio kwa binadamu TU, hata wanyama na ndege wanao.

Kama una ulemavu au mume wako ana mojawapo wa kasoro hizi nilizozitaja kwenye mapenzi naomba njoo inbox nitakushauri.
 
Sikutaka kuwa na mtoto wa nje mkuu japo katika hawa wawili mmoja ni wa nje japo ni mama mmoja
Sex sio starehe kwa viumbe bali ni kwaajili ya kuzaa TU basi, unapokuwa na Mke mmoja bila shaka umeigeuza sex kuwa starehe yako. Hii itakufanya ufanye sex na hata Mke mwenye mimba kubwa ya kuzaa, anayenyonyesha mtoto mdogo maana huna alternative ya starehe yako hiyo, vinginevyo nguvu za kiume hazikutoshi mkuu, kwakuwa wanaume wanaamshwa na kudisa usiku wa manane na alfajiri, Sasa kama mkeo ana bleed, amejifungua, unanyonyesha unafanyaje?
 
Kujizuia ni pale unaposhuhulika na mambo kama wizi, kusengenya, kupiga mtu, kwenda, kurudi, kufanyakazi fulani na vitu vyote ambavyo utashi wako unahusika kufanya au kuacha, yaani una hiari navyo. Lakini sex sio miongoni mwa mambo ambayo una hiari nayo, yaani autonomic nervous system ndiyo inaamua iweje.
Mkuu kwa andiko hili nimegundua wewe ni mtu wa aina gani

endelea kuamini unacho kiamini

Ila usitusemee wanaume wote jiongelee wewe kama wewe maana kila mtu ana utaratibu wake wa maisha, maana wengine tunajua kudhibiti hisia zetu

Nikupe mfano mdogo, mwanaume ana kawaida ya kupiga bao la kwanza ndani ya dakika kumi ikiwa amekaa muda mrefu bila sex
Sasa hii unakuta mtu anajizuia anapoteza dakika 30 au mpaka mkewe atakapofika kileleni ndo na yeye anaruhusu
Hivyo kama mtu una uwezo wa kudhibiti hisia zako huwezi kushindwa kujizuia kuwa na wanawake wengi
Pia na malezi huwa yanachangia hivyo sishangai au kulazimisha uelewe nilichoandika maana naheshimu mtazamo wako
 
Mkuu kwa andiko hili nimegundua wewe ni mtu wa aina gani

endelea kuamini unacho kiamini

Ila usitusemee wanaume wote jiongelee wewe kama wewe maana kila mtu ana utaratibu wake wa maisha, maana wengine tunajua kudhibiti hisia zetu

nikupe mfano mdogo, mwanaume ana kawaida ya kupiga bao la kwanza ndani ya dakika kumi ikiwa amekaa muda mrefu bila sex
Sasa hii unakuta mtu anajizuia anapoteza dakika 30 au mpaka mkewe atakapofika kileleni ndo na yeye anaruhusu
Hivyo kama mtu una uwezo wa kudhibiti hisia zako huwezi kushindwa kujizuia kuwa na wanawake wengi
Pia na malezi huwa yanachangia hivyo sishangai au kulazimisha uelewe nilichoandika maana naheshimu mtazamo wako
Kujizuia kupiga bao sio uhodari, bali ni kuacha TU kusugua Ile sehemu ya penis (uume) yako ambayo Iko sensitive sana, yaani yenye mishipa mingi ya fahamu inayopeleka taarifa kwenye ubongo (kichwa cha uume na chini ya uume). Kazi ya kupiga bao inafanywa na sympathetic nervous system na kazi ya kupeleka damu nyingi kwenye uume ili usimame na kujisikia raha inafanywa na parasympathetic nerves. Hivyo wewe kazi yako ni kuacha kusukuma kiuno ili kupunguza friction ili uchewele kupiga bao, sio ufundi. Lakini kazi ya kutamani na kudisa huwezi kui control wewe asilani, Iko kidigitali zaidi kuliko kianalogi.
 
Kujizuia kupiga bao sio uhodari, bali ni kuacha TU kusugua Ile sehemu ya penis (uume) wako ambayo Iko sensitive sana, yaani yenye mishipa mingi ya fahamu inayopeleka taarifa kwenye ubongo. Kazi ya kupiga bao inafanywa na sympathetic nervous system na kazi ya kupeleka damu nyingi kwenye uume ili usimame na kujisikia raha inafanywa na parasympathetic nerves. Hivyo wewe kazi yako ni kuacha kusukuma kiuno ili kupunguza friction ili uchewele kupiga bao, sio ufundi. Lakini kazi ya kutamani na kudisa huwezi kui control wewe asilani, Iko kidigitali zaidi kuliko kianalogi.

Una umri wa miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom