Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

Status
Not open for further replies.
Hivi kweli kwa madhara yaliyoletwa na awamu ya tano, ambayo hata kizazi , kijacho kitaathirika, useme leo mtu asiyaongelee?hata kwa awamu ya Nyerere kuna athari zake hadi leo watu wanaumia sembuse huyu hata miezi 3 bado?!!asisemwe?!!mtu amefungiwa account zake leo zinafunguliwa hakuna hata senti mtu wa hivyo umwambie kuwa ya jiwe yamepita??
 
You can't plan the present if you can't take the past as the reference point...

Je, unajua ni kwa sababu zipi/gani kulianzishwa Umoja wa Mataifa UNO mwaka 1945?

Ni kwa sababu ya viongozi aina ya Adolf Hitler, Benito Mussolini nk wasababishi wakuu wa WW2 na WW2..

Ni ngumu sana kuongelea mambo ya katiba mpya, NEC mpya, kuheshimu sheria na katiba (the present & future) bila kuutumia utawala wa CCM ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na juzi kati hapa Jiwe - Magufuli kama rejea..

Utakuwa ni mwanaharakati na mwanasiasa mjinga sana kama utapanga mikakati yako ya kisiasa za wakati ujao bila kuijengea hoja mikakati hiyo kuwaweka kwa hawa waliowahi kuwa marais kqma rejea ya political strategies zenu..!!
 
Yaan we umepata "kibarua" unasema eti we mchaga na umepata kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbowe anazungumzia kazi za maana, teuzi, ukuu wa Taasisi, Ubalozi yaan grande appointments sio afisa ugani msaidizi III
Mbona wapo wengi tu waliteuliwa na Magu acha uongo yule alikuwa RC wa Tabora ni mchaga wakuu wa wilaya kibao, mkuu wa Takwimu nk. Lakini sisi wasukuma wala hatupati taabu sisi tunawatani wengi sana ambao wako upande wetu pia dada wakichaga wanatupenda sana tu sisi kwetu tumeoa Marangu labda yeye atabaki na Wamachame wenzake sisi hatuwaachi Wamarangu.
 
Kwanza kabisa anajiaibisha tafsiri ya kumlaumu mtu aliyefariki ni Mosi

Ulikuwa una muogopa enzi za uhai wake kwann hakumwambia badala yake alipanda ndege na kwenda ughaibuni

Huko ughaibun kwenyewe alikuwa yupo kimyaaa hakunyanyua ata mdomo wake kumlaumu

Ache mambo ya kulaumu laumu
 
Dogo
Haya ni mapambano ya mageuzi, Wilaya zetu Kilimanjaro tume changia kwa miaka 27 taktibani sasa, kwa hiyo tupunzike kidogo Same Mwanga, Vunjo, Rombo, waliya ya Moshi, Hai na Siha wacha tupumzike, na hata kura zilionyesha hivyo.
Tutaona uchaguzi ujao.
 
Mkuu, hii ndiyo ingekuwa mada pale juu kabisa, hasa huo mstari wako wa kwanza:

"...watu tunataka katiba, tume huru, utawala wa sheria, UCHUMI WA WATU na mapambano dhidi ya Rushwa na Ufisadi."

Huu mstari unajitosheleza kabisa, na kama Mbowe na wenzake hawatayasikia haya na kujihusisha nayo, basi , kazi yao itakuwa ni bure kabisa.

Hakika unastahiri kujiita jina hilo.
 
Tangu ufukuzwe kazi unalalama utadhani sisi ndio tuliokutimua !
 
Ni mchochezi na mgawaji wa Taifa letu pendwa liliojengwa kwa Misingi imara ya Umoja, Uhuru na Mshikamano.
Hatubaguani kwa namna yoyote atoe ushahidi wa ajira ambazo ulikua na ubaguzi wa aina anayoisema.

Apuuzwe!
 
Mbona Nyinyi Badala ya Kumpongeza Mama SAMIA Mnahangaika na Mwendazake Eti yuko Mioyoni Mwenu Wacha ASEMWE MAGUFULI kwa Mema na MABAYA YAKE
 
Kuna thread NNE zinazogombana na Mbowe,sijui kuna nini
 
Habari wana bodi.

Siku ambayo aliyekuwa mbunge wa jimbo la Hai na mwenyekiti wa Chadema ameachia ngazi ya uenyekiti wa Chadema iwe kwa hiari yake au kwa kuitwa na Mungu ,basi siku hiyo itakuwa ya furaha sana ndani ya Chadema na nje ya Chadema.

Freeman Mbowe ametuhumiwa kwa udikteta uriokithiri ndani ya chama hadi kupelekea akina Kitila Mkumbo, Zito Kabwe , Mwita Waitara, Edward Lowasa, Sumaye etc kuondoka ndani ya chama hicho. Mbowe anaamini yeye ndiyo mwenye akili kupita wote chadema hadi alifikia hatua ya kumwambia Sumaye alipogombea uenyekiti wa chama kuwa sumu haionjwi.!!!
Hata wale wabunge wa viti maalum 19 wa chadema ni matokeo ya udikteta wa Mbowe.

Kama Mbowe ana nyama na damu inayozunguka mwilini mwake bila shaka mwisho wake upo ndani ya Chadema na siku hiyo itakuwa ya furaha sana kwa wapenda demokrasia nchini.
 
Nimekuelewa kuwa hii hoja ya kusema wachaga wameonewa itafutiwe lugha ili kuondosha fikra za chadema kuitwa chama cha kikabila kiunzi ambacho chadema walishakiruka zamani
Nafikiri uonevu ni kwa watu wengi hivyo hoja isilalie watu fulani.
Mwendazake kusemwa atasemwa tu,iwe kwa mazuri ama kwa mabaya
 
Lumumba kutakua na sherehe ya Kitaifa
 

Mkuu mimi nimeongea Kama mwanamageuzi kwa mustakabali mwema wa opposition ktk nchi yetu... naona watu wanachangia kwa hisia
 
Kama Mbowe anasakamwa na thread zaidi ya tatu hapa JF,bills shaka malipo yametoka Hazina
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…