RJ-White
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 744
- 752
Mentality hizi ndio anazotaka mbowe. Hapa japo hujulikani lakini kuna zaidi 90% wewe ni mchaga. Usimsikilize Mbowe, nchi hii ukabila ukipewa nafasi kwa kuutamka wazi hivyo tena kwa kiongozi mkubwa kama mbowe, mbegu hiyo haiozi ikafa. Itamea ubaguzi huo utaanzia ndani ya chama na utatafuna kote na kufika mbali hata kusikotarajiwa, Kwenye ngazi ya familia.Wapumbavu wana
Wapumbavu sana ambao wanajifanya hawaioni agenda ovu ya mwendazake...
Chuki ya ubaguzi kikabila au kidini ni hatari sana. Chukua mfano wachaga walioko usukumani kanda ya ziwa ni wangapi? Wale wasukuma wakianza kuwabagua wachaga kule itakuwaje? Maana huko uchagani idadi ya wasukuma sio sawa na wachaga walio kanda ya ziwa. Mnataka yafike huko kwa kumsikiliza mbowe?
Sio lazima uwe na elimu ya chuo kikuu kulasni upambavu huu. Na ni upumbavu zaidi kusema kuhusu mtu aliyetangulia mbele za haki, unakuwa unamgombeza au kumfokea nani?